KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Jinsia yako ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinsia yako ni ipi?
Ww ni rangi gani?Sawa naona unakimbiaa ahahha
Mi mwanaume yeyote ili mradi handsome tu mwenye mvuto
Awe mweupe ,mweusii,maji ya kunde sawa tu ili mradi anivutie tu
Mwanamke mwenye sura nzuri,macho angavu,midomo laini,na pia anayejua kudeka indeed huongeza ashki katika mapenzi.
Kama huna/haujawahi kudate na mwanamke mweupe kisura pole sana,pambana na hali yako
Mtoto white humfanya mwanaume aonekane mjanja na mwenye sound
HahaKweli kwenye maisha usikate tamaa,na mimi leo nimekuwa wa kwanza kucoment siamini!