Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

Tuko tofauti saaana aisee! Miki mwanamke mweupe, hapana! Na mpenzi wangu siku akijaribu kujichubua tu, namuacha taslimu!


usiombe ukae /ulale bed1 na mwanamke anaejichubua 24hrs ana sweat tu! ukute anatumia calorty maweeeeeee
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hata Mimi mwanaume mweupe Jamani sijui ata wanaladha gani maana sina aptaiti nao

Sent using Jamii Forums mobile app


hahahaha na mm zaman sikuwa napenda hata kuwaona wanaume weupe nilikua sn hisia nao kbs kbs yaan! cha kushangaza sasa nimeolewa na mume mweupeeeee ! ukimuangalia haraka utahis mwarabu ! ila niliwah mwambia sikuwa nawapenda wanaume weupe (alinuna balaa) ...wapo vzr sana tu! ila black men bado wanashika kibendera aic....ndukiiiiiiii
 
6b6d3bf8eeea5dff614793e4016d0582.jpg



naamini katika bronze colour, sio white

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hapana! Mke mweupe hana nafasi na wala hanipi mzuka.... Ugonjwa wangu ni mwanamke mweusi mng'avu, mrefu na umbo la kati na mwenye kiuno cha dondora, sio msambwanda mkuuuuubwa!.. Kaduchu tu.... Hapo nafunga breki za mbele kabisa.....
We tukikutana hata hutageuka kuniangalia, maana nina ka weupe, msambwanda wa kati, hips 46 sifai kabisa...
 
Wanawake weupe, wanavutia kwa macho, ila papuchi zao sio tamu kabisa! Unaweza kuzamisha mkwaju usihisi joto wala baridi! Ukaishia kumaliza nguvu zako tu...!
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mbitiyaza unanimaliza mbavu nimecheka khaaa eti kila mtu namalengo yake humu jf duh Mimi lengo kutafuta Kazi wengine wanatafuta weupe

Sent using Jamii Forums mobile app


una rangi nzuri sana sana maana pic uliyotuma na kwa avatar ni ww usijikoboe mwaya tunza ngozi isiingiliw na chunusi basi!
 
We tukikutana hata hutageuka kuniangalia, maana nina ka weupe, msambwanda wa kati, hips 46 sifai kabisa...


una kipaji shogaa! 'hipis' 46!!!!!!!! duh mie kifua 45' hips mara ya mwisho niliambia 17.5! kweli we HUIFAII
 
Signature yako mkuu inanikumbusha kuna mkaka aliachwa mdogo sana na wazazi wake akiwa mdogo (Walifariki = Yatima) alikosa mapenzi ya pande zote na alinyanyasika kwa ndugu na kielimu pia alikosa in short alikosa haki za msingi kama mtoto.....mda mwingi anapenda sana kupost hii kitu (ujumbe) mbaya zaidi katika kukua akapata dem akazaa nae akafariki akamuachia katoto kachanga.
 
Back
Top Bottom