Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

Binafsi nafanya mazoez ili niwe na muonekano mzuli nivae nguo ninayoitaka sio niliyoikuta na kulinda afya..

Hayo mambo ya kufikishana kileleni unayajua ww though nina pumzi mno kwny mambo yale.. Kinachonisumbuaga ni njaa tu ila sio kuchoka..
[emoji23][emoji23] sure njaa bhana inanikaba sana huwa nakula usiku kucha yaan
 
Vijana wengi wa Dar ni washamba wa mapenzi na wanashinda gym ili kupata six pack akini wajue tu kitandani ni ubunifu na utundu, hata urefu wa nanii hausaidii, ni kujua kona ipi iguswe muda gani,.
 
Vijana wengi wa Dar ni washamba wa mapenzi na wanashinda gym ili kupata six pack akini wajue tu kitandani ni ubunifu na utundu, hata urefu wa nanii hausaidii, ni kujua kona ipi iguswe muda gani,.
Mkuu hapa umegongelea penyewe, wanajaza misuli kwa kunyanyua vyuma utadhani kitandani tunakwenda kucheza kriket au kulima.
 
Kama huna hisia na mtu, hata iweje huwezi kufika kileleni
 
Duh watu wanafanya mazoezi ili kujiweka fit kiafya haya mambo ya vileleni mmh, sijui.
 
Kwaiyo mmeo ndo anaenda jim alaf bado hakufikish kilelen ama
 
Umenichekesha Sana jombaaaa
 
Pole sana kwa kupigwa pipe na Six Pack halafu hujakojoa, ukaambulia maumivu kwa kurupushani za sex. Mwambie yeye, siyo sisi hatukuwepo wakati mnachubuana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…