Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

Ndo siku hizi wanatengeneza magari ya automatic na power steering, sio kama zamani, li Bedford kusuka steering mpaka uwe umekunywa uji wa wimbi!!!

Jamaa wanataka wrestling kitandani....unapigwa mieleka na kukunjwa sawa sawa...........πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Yeah that is fact Aisee
 
ifike pahala wanawakw tuitishe mgomo wa kitaifa wa kudai kufikishwa kileleno, hata kama wapo wachache wanao fikishwa ila tuungane wote kwa umoja wetu tukiongozwa na wa-wakilishi wa mwenda-alipokwenda ,, na kwa wiki nzoima tuwanyime waume zetu mchezo.

Pili mjadala wa kitaifa uitishwe KULA CHIPS ZITANGAZWE KUWA NI UHUJUMU UCHUMI.
 
Hio bachelor ya science ya mapenzi inatolewa wapii Tanga au udizim?
 
The best of six pack ni ile carton ya beer.[emoji39][emoji481]
 
Vijana wengi wa DAr wanashnda gym kutafuta vifua, lakini ukweli ni kwamba mkia ndio mwisho wa reli na si kifua, upindo wa kanga ukimchapa nao mtoto vizuri hutaskia malalamiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…