Kuwa na wanachama wengi haimaanishi wote watakupigia kura

Joined
Feb 18, 2019
Posts
53
Reaction score
539
Nimesikia baadhi ya viongozi wa CCM wakitupigia mahesabu ya wanachama walionao. Wameenda mbali wanatupostia kwenye mitandao kwamba kwenye jumla ya wapiga kura 29M eti wanachama wao ni 22M.

Niwaulize nyie vilaza, mmejuaje hao 22M ni wanachama wenu? Hamuoni kuna uwezekano kati ya wanachama wenu 22M walio na voters id wakawa ni 5M tu?

Katika mahesabu yenu mmesahau kuwa wapiga walio wengi ni wapya tena vijana ambao hawana vyama. Hawana mrengo wowote wa kivyama bali wanafuata mtu ambaye atawashawishi kwa sera madhubuti!

CCM inabidi mtafute mtu wa kuwapigia mahesabu vizuri. Sio huyu slowslow mzee wa unachukua hapa unaweka pale unabakiwa na kadhaa. CCM wanachama wenu wengi ni wazee tena huenda wengi wamekufa maana hii miaka 5 ya JPM imewapa wazee wetu stress sana.

Kingine vyama vya kisiasa sio dini. Eti kwamba ukitaka kuhamia kanisa jingine lazima uende madhabahuni kubatizwa ama kufanya sala ya toba. Noo. Mimi kuwa mwanachama wa CHADEMA haimaanishi ndio nitakubaliana nao kwenye kila jambo. Siku wakizingua sapoti yangu hawataipata iwe kwa kutangaza hadharani ama kimya kimya.

Hivyo CCM kuweni realistic. Kati ya hao wanachama wenu 22M:

1. Waliojiandikisha kupiga kura hawafiki hata robo.

2. Asilimia kubwa hawana mpango nanyi tena na hawatapa kura.
 
  • Thanks
Reactions: Wed
Wanachama wote wa CCM wamepata mafunzo ya kuelewa umuhimu wa kuilinda nchi yao kwa kuchagua CCM.
 
Hahah Chadema mtaongea kila lugha huu mwaka

Watanzania wanahasira na msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
 
Jiandaeni kisaikolojia. Tukipata Kura 22 milioni msiseme hatukiwaambia before
 
Mimi ni mwanaccm kindakindaki lkn kura yangu nampa lissu, rais magufuli kajitahidi kuleta maendeleo kiasi chake lkn napata mashaka ulimi wake umekuwa mzito kutamka neno haki. Pia kinachonitisha kingine ni hatawali kwa kufuata sheria na huu utamaduni kaambukiza hadi madc wamelewa madaraka na viburi, magufuli anatumia nguvu kubwa kujenga taifa la watu waoga wasio weza kuhoji viongozi wao pindi wanapokosea, kwa kwel no kura yangu natoa kwa lissu
 
Nimesikia baadhi ya viongozi wa CCM wakitupigia mahesabu ya wanachama walionao. Wameenda mbali wanatupostia kwenye mitandao kwamba kwenye jumla ya wapiga kura 29M eti wanachama wao ni 22M.

Niwaulize nyie vilaza, mmejuaje hao 22M ni wanachama wenu? Hamuoni kuna uwezekano kati ya wanachama wenu 22M walio na voters id wakawa ni 5M tu?

Katika mahesabu yenu mmesahau kuwa wapiga walio wengi ni wapya tena vijana ambao hawana vyama. Hawana mrengo wowote wa kivyama bali wanafuata mtu ambaye atawashawishi kwa sera madhubuti!

CCM inabidi mtafute mtu wa kuwapigia mahesabu vizuri. Sio huyu slowslow mzee wa unachukua hapa unaweka pale unabakiwa na kadhaa. CCM wanachama wenu wengi ni wazee tena huenda wengi wamekufa maana hii miaka 5 ya JPM imewapa wazee wetu stress sana.

Kingine vyama vya kisiasa sio dini. Eti kwamba ukitaka kuhamia kanisa jingine lazima uende madhabahuni kubatizwa ama kufanya sala ya toba. Noo. Mimi kuwa mwanachama wa CHADEMA haimaanishi ndio nitakubaliana nao kwenye kila jambo. Siku wakizingua sapoti yangu hawataipata iwe kwa kutangaza hadharani ama kimya kimya.

Hivyo CCM kuweni realistic. Kati ya hao wanachama wenu 22M:

1. Waliojiandikisha kupiga kura hawafiki hata robo.

2. Asilimia kubwa hawana mpango nanyi tena na hawatapa kura

Kadi ya ccm inauzwa shilingi 500, ili upate upendeleo wa kimfumo inabidi uwe na kadi ya ccm. Hivyo ccm haina wanachama wengi, bali imeuza kadi nyingi kwa watu wanaotaka upendeleo wa kimfumo.
 
Nimesikia baadhi ya viongozi wa CCM wakitupigia mahesabu ya wanachama walionao. Wameenda mbali wanatupostia kwenye mitandao kwamba kwenye jumla ya wapiga kura 29M eti wanachama wao ni 22M.

Niwaulize nyie vilaza, mmejuaje hao 22M ni wanachama wenu? Hamuoni kuna uwezekano kati ya wanachama wenu 22M walio na voters id wakawa ni 5M tu?

Katika mahesabu yenu mmesahau kuwa wapiga walio wengi ni wapya tena vijana ambao hawana vyama. Hawana mrengo wowote wa kivyama bali wanafuata mtu ambaye atawashawishi kwa sera madhubuti!

CCM inabidi mtafute mtu wa kuwapigia mahesabu vizuri. Sio huyu slowslow mzee wa unachukua hapa unaweka pale unabakiwa na kadhaa. CCM wanachama wenu wengi ni wazee tena huenda wengi wamekufa maana hii miaka 5 ya JPM imewapa wazee wetu stress sana.

Kingine vyama vya kisiasa sio dini. Eti kwamba ukitaka kuhamia kanisa jingine lazima uende madhabahuni kubatizwa ama kufanya sala ya toba. Noo. Mimi kuwa mwanachama wa CHADEMA haimaanishi ndio nitakubaliana nao kwenye kila jambo. Siku wakizingua sapoti yangu hawataipata iwe kwa kutangaza hadharani ama kimya kimya.

Hivyo CCM kuweni realistic. Kati ya hao wanachama wenu 22M:

1. Waliojiandikisha kupiga kura hawafiki hata robo.

2. Asilimia kubwa hawana mpango nanyi tena na hawatapa kura.
Wafanyabiashara wore TANZANIA ni CCM na kadi wanazo. Walichukua kadi za uanachama ili kujificha makucha ya TRA. Ukweli hakuna mfanyabiashara ataipigia kura CCM .
 
Back
Top Bottom