jiwe la majiwe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 2,537
- 1,586
Wewe mpare gani unashehekea X-Mas..???wkt tunajua 100% ya wapare ni wasabato na sio Wakristo...???Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.
Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .
Wadau tukutane milimani .
Jinga sana huyu mtoto[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu wana hasira na dada zao
Pumbavu kwelii mkuuPumbavu
Hayo matako ndio yanatufanya wabantu tuwe na low IQKumbe ndio maana Mange hana tacko, kumbe ni wale wale tu.
Wapare tumegawanyika sana .Wewe mpare gani unashehekea X-Mas..???wkt tunajua 100% ya wapare ni wasabato na sio Wakristo...???
Ndio mmegawanyika sana..!!Wapare tumegawanyika sana .
Ni kweliWapare nawafahamu kwa u Sabato[emoji120] [emoji122]
KweliWapare nawafahamu kwa u Sabato[emoji120] [emoji122]
Tudhomane kwa Mwevo tarehe 24 December na tarehe 26 Iria la Mbora mbujiMi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.
Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .
Wadau tukutane milimani .
Mle meoni bora kuwa mbwa kuliko kuwa huyo kimavi
Unatutisha mkuu [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hapo mtakapo kutana mtalipuliwa na Bomu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji109]Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.
Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .
Wadau tukutane milimani .
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Saint Ivuga huendi ww au unaishia huko kwa mtogole
[emoji23] hethina mburi kabitha mbwangeMshana Jr aze na mkate(iboflo) nawe uze na machungwa
[emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]ILA UMSHUKURU MUNGU PIA USIJE UKAMUOA MAGE AU UKAOLEWA NA MSHANA JR HE HE! CHAMOTO UTAKIONA.