jiwe la majiwe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 2,537
- 1,586
Wewe mpare gani unashehekea X-Mas..???wkt tunajua 100% ya wapare ni wasabato na sio Wakristo...???Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.
Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .
Wadau tukutane milimani .