Kuwa Na wapare kama MANGE KIMAMBI na MSHANA JR ni kitu najivunia sana.

Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.

Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .

Wadau tukutane milimani .
Wewe mpare gani unashehekea X-Mas..???wkt tunajua 100% ya wapare ni wasabato na sio Wakristo...???
 
Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.

Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .

Wadau tukutane milimani .
Tudhomane kwa Mwevo tarehe 24 December na tarehe 26 Iria la Mbora mbuji
 
Mi ni mpare wa milimani Na Nina amini muda umewadia tutakapokutana milimani Na watu kama mange kimambi mwanasiasa machachari Na mshana Jr. Mwana Jf Kwenye msaada mkubwa hasa Kwenye mambo ya kiroho.

Pia tutakuwa Na Akina Roma mkatoliki mpambanaji utakuwa full shangwe mlimani msimu huu huku tukila Puree .Viogwe.Na kishumba .

Wadau tukutane milimani .
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji109]
 
Back
Top Bottom