Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ha ha ha haKikubwa ni ile raha na starehe katika kusokotana
Wakati mwingine inapoteza muda
Kwa nini mkuu?
ha ha ha ha nini inasababisha hiyo hali?Ni upopoma
ha ha ha nimecheka sana ''kama we rijali wa kweli nyumbani wapate ugali ".Hupoteza muda wa kufanya mambo ya maana kwa kuwazia chain ya wanawake uliyonayo!
Pesa ndiyo haiwezi kukaa kabisaaaa! Na ukiiendekeza huwezi hata kujenga kichuguu cha vyumba hata viwili!
Ila ukweli ni kwamba hatutulii! Sote me na ke!
N.b. "Kuwa na wapenzi wengi siyo kipimo cha ulijari, kama we rijali wa kweli nyumbani wapate ugali ".
By Nikki Wa Pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kwa baadhiHivi haiwezekani mti wa mwembe ukawa na apple, chungwa, nanasi, fenesi, parachichi,zabibu,ndizi,passion,tikiti?