Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata 2% ya mfalme Sulemani sijaifikiaKuwa na wapenzi wengi,ni ujanja ama ushamba?
Unakuta binti ana wanaume lukuki, kila mmoja anapangiwa muda wake na mbaya zaidi unakuta hawafahamiani. Hivyo hivyo kwa wanaume pia, wanakuwa na mabinti (wanawake) wengi leo Ashura, kesho Mwanaidi, kesho kutwa Merry n.k Je huu ni ujanja ama ni ushamba tu?
Kweli mkuu,kama uchumi hauko imara kuyumba ni kawaidaNi upuuzi wa kiwango cha lami. Unapoteza mda, pesa, nguvu. We gi wanaokua na wapenzj wengi huishia kuwa maskini wakutupwa.
ha ha ha ha flash kuingia kila kompyuta....hapo lazima ipate virusUshamba uko wa aina nyingi,kwahiyo huu ni moja wapo ya aina za ushamba...
ha ha ha ha hutaki kutangulia mbinguni?Ingekuwa ukimwi haupo labda ingekuwa raha lakini haya magonjwa yalivyokuwa mengi hapana wacha tu nibaki na ushamba wangu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli mkuu,kuna muda mtu anatakiwa aseme sasa imetoshaNi matumizi mabaya ya akili.
kwa mabaharia, ili kutambua uwezo wako wa akili katika kumudu mambo mengi kwa wakati mmoja yakupasa uwe na mademu wasio pungua sita na kila mmoja ajione yuko peke yake...Kuwa na wapenzi wengi,ni ujanja ama ushamba?
Unakuta binti ana wanaume lukuki, kila mmoja anapangiwa muda wake na mbaya zaidi unakuta hawafahamiani. Hivyo hivyo kwa wanaume pia, wanakuwa na mabinti (wanawake) wengi leo Ashura, kesho Mwanaidi, kesho kutwa Merry n.k Je huu ni ujanja ama ni ushamba tu?
hahahhaha mkuu huo sio ushamba,... vipi kama huyo ulie kua nae akikuruhusu uwe na mtu mwingine kwa hiyari yake utaweza kukataa...??? .. inaonekana huwa akikubana kidogo hii namba n ya nani huwa unafunguka ukweli kila kitu .....Ingekuwa ukimwi haupo labda ingekuwa raha lakini haya magonjwa yalivyokuwa mengi hapana wacha tu nibaki na ushamba wangu
Sent from my iPhone using JamiiForums
ha ha ha haNi ungese tu...japokuwa sometimes inakupa assurance na a lot of options...
Kuliko kuinvest sehemu moja...halafu ukatemwa utajuta...
ha ha ha ha hebu tusaidie majibu mkuuMbona haujaongelea na wale wanaooa wake wanne wanne pia ni ujanja au ushamba?
#Bagwell
Alafu mwisho wa siku inakuwaje?unatumia kigezo gani kuhitimisha kama ni ujanja au ushamba!? mi nadhani ni hulka ya mtu tu!.