Tzhacker 000
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 659
- 689
Kwahio ili isiwe mbaya zaidi inabidi hao wanaume Wafahamiane?? Sijaona sababu ya Wewe kusema eti "mbaya zaidi hawafahamian" ulitaka wafahamiane ili iweje sasa?? [emoji848][emoji848][emoji848]Kuwa na wapenzi wengi,ni ujanja ama ushamba?
Unakuta binti ana wanaume lukuki, kila mmoja anapangiwa muda wake na mbaya zaidi unakuta hawafahamiani. Hivyo hivyo kwa wanaume pia, wanakuwa na mabinti (wanawake) wengi leo Ashura, kesho Mwanaidi, kesho kutwa Merry n.k Je huu ni ujanja ama ni ushamba tu?
Siwatetei wadada ila Uzi waki Ndezi Huu... Una lain Nne mitandao tofauti kwaajili Ya nini labda?
Sent using Jamii Forums mobile app