Kuwa na wapenzi wengi, ni ujanja ama ushamba?

Kusema ukweli naonaga ni ujinga na ushamba kilo. Pamoja nimefanya haya mambo sana.!
 
Ni upuuzi wa kiwango cha lami. Unapoteza mda, pesa, nguvu. We gi wanaokua na wapenzj wengi huishia kuwa maskini wakutupwa.
 
Hata 2% ya mfalme Sulemani sijaifikia
Kila 1 afenye kinachomfurahisha
Hakuna wa kusaidia kujuta
 
Ingekuwa ukimwi haupo labda ingekuwa raha lakini haya magonjwa yalivyokuwa mengi hapana wacha tu nibaki na ushamba wangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ushamba uko wa aina nyingi,kwahiyo huu ni moja wapo ya aina za ushamba...
 
Ni upuuzi wa kiwango cha lami. Unapoteza mda, pesa, nguvu. We gi wanaokua na wapenzj wengi huishia kuwa maskini wakutupwa.
Kweli mkuu,kama uchumi hauko imara kuyumba ni kawaida
 
Ingekuwa ukimwi haupo labda ingekuwa raha lakini haya magonjwa yalivyokuwa mengi hapana wacha tu nibaki na ushamba wangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
ha ha ha ha hutaki kutangulia mbinguni?
 
kwa mabaharia, ili kutambua uwezo wako wa akili katika kumudu mambo mengi kwa wakati mmoja yakupasa uwe na mademu wasio pungua sita na kila mmoja ajione yuko peke yake...
 
Ingekuwa ukimwi haupo labda ingekuwa raha lakini haya magonjwa yalivyokuwa mengi hapana wacha tu nibaki na ushamba wangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
hahahhaha mkuu huo sio ushamba,... vipi kama huyo ulie kua nae akikuruhusu uwe na mtu mwingine kwa hiyari yake utaweza kukataa...??? .. inaonekana huwa akikubana kidogo hii namba n ya nani huwa unafunguka ukweli kila kitu .....
 
Ni ungese tu...japokuwa sometimes inakupa assurance na a lot of options...

Kuliko kuinvest sehemu moja...halafu ukatemwa utajuta...
 
Mbona haujaongelea na wale wanaooa wake wanne wanne pia ni ujanja au ushamba?

#Bagwell
 
unatumia kigezo gani kuhitimisha kama ni ujanja au ushamba!? mi nadhani ni hulka ya mtu tu!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…