Kuwa 'Photographer' wa marafiki zako wakati mnatoka out, nacho ni kipengele

Kuwa 'Photographer' wa marafiki zako wakati mnatoka out, nacho ni kipengele

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Wakuu, '

Ushauri wa bure: Usikubali kabisa kuwa 'Official Photographer' wa marafiki zako mkienda out! 😂

Unateseka kupiga picha 200, unalala chini kutafuta angle, mwisho wa siku kwenye album nzima huonekani ata kwenye kona, unakuwa mpenzi mtazamaji tu.

Halafu kibaya zaidi, ukishalipa hilo deni la picha, bado wanakwambia : 'Aisee nisaidie kuedit na hii!'

Achaneni na mimi kabisa
 
Mimi nafurahi tu, maana sipendi kuonekana kwenye mapicha picha, kiufupi sipendi kupiga piga picha, kwa hiyo hao mafurendi wakiwa na mimi watainjoi tena huwa muda mwingine nalazimishwa haya na wewe kaa pale upige picha
Huyu ndio Mimi kabisa. Napenda sana kupiga picha na najua angle nzuri za kukaa ili kupata picha kali ila huwa sipendi kutokea kwenye hizo picha

Ulevi wangu ni kutoa picha kali na ku capture moments
 
Binafsi ninapenda sana kuchukua matukio na ni zuri sana kupiga picha ila nisipo tokea huwa inaniuma pia, so nikiona location hii itanifaa nina mpatia mwingine nami ani photo 📸
 
Back
Top Bottom