tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Huyu ndio Mimi kabisa. Napenda sana kupiga picha na najua angle nzuri za kukaa ili kupata picha kali ila huwa sipendi kutokea kwenye hizo pichaMimi nafurahi tu, maana sipendi kuonekana kwenye mapicha picha, kiufupi sipendi kupiga piga picha, kwa hiyo hao mafurendi wakiwa na mimi watainjoi tena huwa muda mwingine nalazimishwa haya na wewe kaa pale upige picha