Kuwa sehemu ya historia ya katiba mpya kwa kuweka maoni yako hapa

Wakuu heshima kwenu!
yakwangu machache ni haya
1. Serikali moja
2. Mamlaka ya kikanda.
3. Kumuondoa DC abaki mbunge ambaye pia atakuwa ni mwenyekiti wa halmashauri
4. Kuondoa kinga ya Rais kuto kushitakiwa
5. Kuondoa nguvu ya Rais kuteua kila nyadhifa na kumuachia baadhi tuu
Eg. Asiteue majaji
sita japo si kwa umuhimu, katiba iwe ndogo kama ya marekani. Katiba ya marekani ina ibara Saba. Yenye vitu imara na vya msingi. Tusiwe na limsahafu kama la walioba linataja mpaka mbolea, ambalo ni kama katiba ya India yenye ibara mia nne na kitu huko. Hii husababisha kuto kuwa na msimamo wa kisheria. Nitie neno kidogo kwenye Tume ya uchaguzi, kama tutaweza kuwa na mahakama huru, ambayo majaji wanapanda vyeo kwa mifumo yao na ubora wao, basi ifikapo uchaguzi suala la uchaguzi liratibiwe na tume ambayo itakuwa sehemu ya mahakama.
Mshana Jr Sky Eclat
Gwappo Mwakatobe
 
sita japo si kwa umuhimu, katiba iwe ndogo kama ya marekani. Katiba ya marekani ina ibara Saba. Yenye vitu imara na vya msingi. Tusiwe na limsahafu kama la walioba linataja mpaka mbolea[emoji1545][emoji1]
 
2. Wabunge wawe ni wanataaluma waliobobea kwenye taaluma mbali mbali..na vikao vya bunge vizingatie mahitaji ya lazima ya taifa kama kipaumbele

4. Mishahara na marupurupu ya wabunge visiwe tofauti na mapato ya wanataaluma kama walimu, mabwana afya shamba nk[/QUOTE]

5. Mbunge ahudum vipindi visivyo zidi 3.

6. Endapo 4 itazingatiwa majimbo ya uchaguzi yabaki kama yalivyo
 
Madaraka ya Raisi ni makubwa katiba tuliyo nayo inamfanya Raisi kuwa Mungu.
Tupunguze Madara ya Raisi na akiboronga Mambo kwenye utawala wake awajibike.

Tuwe na katiba ambayo Kila mtu yupo chini ya sheria kuepusha haya tunayoyaona Sasa.
Sipingani nawewe, lakini kwa viongozi Hawa waoga na wanafiki , unaona itatufaa kuwa ongezea madaraka?
 

5. Mbunge ahudum vipindi visivyo zidi 3.

6. Endapo 4 itazingatiwa majimbo ya uchaguzi yabaki kama yalivyo[/QUOTE][emoji1545][emoji1534][emoji817][emoji818]
 
1:ikitokea rais amefariki uchaguzi ufanyike tena.
2: kuwe na serikali 3 Tanganyika irudi
3:kuwe na wagombea binafsi wasiotokana na vyama.


Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Kila chama cha siasa kiwe na Jeshi lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…