Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Quality ambazo Hamisa Mobeto hana hata 1.Thamani ya Mtu ipo kwenye UTU wake. Tabia Njema, Tija kwenye jamii yake, heshima yake, akili yake, wajibu na majukumu yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quality ambazo Hamisa Mobeto hana hata 1.Thamani ya Mtu ipo kwenye UTU wake. Tabia Njema, Tija kwenye jamii yake, heshima yake, akili yake, wajibu na majukumu yake.
Tumewaunga mkono kweny ILOHamisa Mobeto amewapa heshima kubwa mno single mothers wote, jana amelipiwa mahari milioni 30 na ng'ombe 30. Hii ina maana watoto wake wa nje hawajawa sababu ya kushusha thamani yake, amewazidi wengi walioolewa wakiwa sio single mothers. Hii inatoa tafsiri kwamba thamani ya mwanamke bado inabaki kuwa kubwa bila kujali mapito yake
Kuwa single mother sio upungufu wa kinga mwilini, ni sehemu ya mapito tu, hao wanaume wanaolaani single mothers ndio wanaoongoza kwa kuchezea watoto wa watu
Mtu anasema hawezi kuoa single mother huku ana madem 10, kama hutaki kuoa single mother kaa bikra uje uoe ambaye hajawahi kufanya hayo mambo kama wewe vinginevyo tuliza mshono✅
Wapuuzi mnaokopi post zangu dawa yenu ipo jikon