Kweli kabisa kuwa single ni shida sana. Hii mambo ya self service sio maisha. Ila sasa bila ndalama mbususu hupati😭😭😭😭Habarini ndugu zangu acha niende kwenye mada moja kwa moja iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako ' na maneno mengine mengi lakin Ukweli kuwa single ni shida.
Binafsi nina experience ya kuwa Single kwa muda mrefu pengine kuzidi nyote humu lakin niseme tu HAKUNA RAHA YOYOTE ZAIDI YA MAWAZO TU
Ni vile kutokana na Uchumi au sababu zilizo nje ya uwezo wetu lakini hakuna mtu anaependa kuwa single.
Ukweli kuwa na mpenzi hasa mnaependana kuna raha tena ya aina yake.
Dah.... Hakyamama hebu ka-edit thread yako. Unawaangusha mabaharia wenzio. Mwanaume kuwa single ni uzembe au ujinga au uoga au ugonjwa wake mwenyewe...Wa kiume mm
😂Ukiona mwanaume yupo single hana nguvu za kiume 🤕
Ukiwa na hela huwezi pata mapenzi ya kweli maana hela ndio zinapendwa, nikiona hivi naona bora kutokujiingiza moja kwa moja kwenye mahusiano sababu mtu anaangalia anafaidikaje na haya mahusiano.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kwani tunapenda basii😆Hivi mnawezaje kuwa single 😂😂
Hakika kaka huo nao ukweliUkiwa na hela huwezi pata mapenzi ya kweli maana hela ndio zinapendwa, nikiona hivi naona bora kutokujiingiza moja kwa moja kwenye mahusiano sababu mtu anaangalia anafaidikaje na haya mahusiano.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app