instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Kabisa...Umekidhi vigezo vya kuwa mwenyekiti wa masingo
Inawezekana wengine tumekuja kushuhudia watu wakipendana...
Sisi ni wapenzi watazamaji....
Inafika hatua unaona watu wakipendana ni ajabu...na inawezekanaje watu wakubaliana kabisa na wakakutanisha vikojoleo vyao...
Mambo mengine tumeamua kuachana nayo...