Kuwa single mateso

Kuwa single mateso

kuna muda unawaza hadi unachoka
kweli ni mateso
Sasa unawaza nini? Kwanza nyie warembo mnaraha vidume kila leo wanawatongoza ni wewe kuchagua tuu....sasa sie wakuna pumbuz inaweza pita miaka mitatu hakuna ata mwanamke anakusemesha
 
Habarini ndugu zangu,

Acha niende kwenye mada moja kwa moja, iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako ' na maneno mengine mengi lakini Ukweli kuwa single ni shida.

Binafsi nina experience ya kuwa Single kwa muda mrefu pengine kuzidi nyote humu lakini niseme tu HAKUNA RAHA YOYOTE ZAIDI YA MAWAZO TU.

Ni vile kutokana na Uchumi au sababu zilizo nje ya uwezo wetu lakini hakuna mtu anaependa kuwa single.

Ukweli kuwa na mpenzi hasa mnaependana kuna raha tena ya aina yake.
Kweli
 
yaani lazima uwe na akili ya kiume .
ukomae yani
Ah kumbe ndio maana mkija kuolewa mnakuwa hamtaki kutawaliwa maana tayari mlisha adopt akili za kiume🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa unawaza nini? Kwanza nyie warembo mnaraha vidume kila leo wanawatongoza ni wewe kuchagua tuu....sasa sie wakuna pumbuz inaweza pita miaka mitatu hakuna ata mwanamke anakusemesha
aisee sura za baba sie nani anakutaka , tupo tunasindikiza warembo wa dunia 😝 .

ukipata utongozwe na mtu usiyemtaka
 
aisee sura za baba sie nani anakutaka , tupo tunasindikiza warembo wa dunia 😝 .

ukipata utongozwe na mtu usiyemtaka
🤣🤣🤣🤣 Dah lkini sura pesono sii ndio wanaolewa ama watu wanatudanganya tuu hapa jf
 
Simu yangu ina kazi mbili tu. Kupakua muvi/series na kuingia jf.
Jitolee mkuu uwe unanitumia hizo text...
Sasa kumtumia mtu text za good morning good night ni kitu cha kumnyima mtu jaman😆😆😆
 
Ah kumbe ndio maana mkija kuolewa mnakuwa hamtaki kutawaliwa maana tayari mlisha adopt akili za kiume🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kutawaliwa haiepukiki maana ni nature hiyo .
ubishi unakuepo maana ushazoea hali ya peke yako
 
kuolewa ni maajaliwa , mpaka mtu aamue .
ni suala la mwanaume sana kuamua kuoa au la .
Ni kweli na ni vyema pia kutambua nguvu ya ushawishi ambayo mwanamke anayo katika suala la mwanaume kutaka kumuoa
 
Ni kweli na ni vyema pia kutambua nguvu ya ushawishi ambayo mwanamke anayo katika suala la mwanaume kutaka kumuoa
sahihi ,ana nguvu ndio ya kushawishi ila sio kwa kuomba ndoa bali inabidi matendo yaonyeshe kuwa yeye ni mke mwema
 
Back
Top Bottom