NdioooooKwamba nikiachana na usingle nitaishi Sana!!??🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioooooKwamba nikiachana na usingle nitaishi Sana!!??🤔🤔
😂😂😂😂..Basi sawa wacha nijaribu..dunia bado naipenda.Ndiooooo
😂😂kuna muda unawaza hadi unachoka
kweli ni mateso
acha tu ni kujikaza kiume
Sasa unawaza nini? Kwanza nyie warembo mnaraha vidume kila leo wanawatongoza ni wewe kuchagua tuu....sasa sie wakuna pumbuz inaweza pita miaka mitatu hakuna ata mwanamke anakusemeshakuna muda unawaza hadi unachoka
kweli ni mateso
Una jikazaje kiume tena wakati wewe mwanamkeacha tu ni kujikaza kiume
maisha si mepesi
KweliHabarini ndugu zangu,
Acha niende kwenye mada moja kwa moja, iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako ' na maneno mengine mengi lakini Ukweli kuwa single ni shida.
Binafsi nina experience ya kuwa Single kwa muda mrefu pengine kuzidi nyote humu lakini niseme tu HAKUNA RAHA YOYOTE ZAIDI YA MAWAZO TU.
Ni vile kutokana na Uchumi au sababu zilizo nje ya uwezo wetu lakini hakuna mtu anaependa kuwa single.
Ukweli kuwa na mpenzi hasa mnaependana kuna raha tena ya aina yake.
Kwakweliacha tu ni kujikaza kiume
maisha si mepesi
yaani lazima uwe na akili ya kiume .Una jikazaje kiume tena wakati wewe mwanamke
Ah kumbe ndio maana mkija kuolewa mnakuwa hamtaki kutawaliwa maana tayari mlisha adopt akili za kiume🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaani lazima uwe na akili ya kiume .
ukomae yani
aisee sura za baba sie nani anakutaka , tupo tunasindikiza warembo wa dunia 😝 .Sasa unawaza nini? Kwanza nyie warembo mnaraha vidume kila leo wanawatongoza ni wewe kuchagua tuu....sasa sie wakuna pumbuz inaweza pita miaka mitatu hakuna ata mwanamke anakusemesha
🤣🤣🤣🤣 Dah lkini sura pesono sii ndio wanaolewa ama watu wanatudanganya tuu hapa jfaisee sura za baba sie nani anakutaka , tupo tunasindikiza warembo wa dunia 😝 .
ukipata utongozwe na mtu usiyemtaka
Sasa kumtumia mtu text za good morning good night ni kitu cha kumnyima mtu jaman😆😆😆Simu yangu ina kazi mbili tu. Kupakua muvi/series na kuingia jf.
Jitolee mkuu uwe unanitumia hizo text...
kutawaliwa haiepukiki maana ni nature hiyo .Ah kumbe ndio maana mkija kuolewa mnakuwa hamtaki kutawaliwa maana tayari mlisha adopt akili za kiume🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kuolewa ni maajaliwa , mpaka mtu aamue .🤣🤣🤣🤣 Dah lkini sura pesono sii ndio wanaolewa ama watu wanatudanganya tuu hapa jf
Ni kweli na ni vyema pia kutambua nguvu ya ushawishi ambayo mwanamke anayo katika suala la mwanaume kutaka kumuoakuolewa ni maajaliwa , mpaka mtu aamue .
ni suala la mwanaume sana kuamua kuoa au la .
Hao wana roho mbaya aiseeeeKama mnanyimana hadi mate goodnight ndio mtashindwa
Tunapata sana shidaa 😊😊😊.. Kama tumetengwaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
sahihi ,ana nguvu ndio ya kushawishi ila sio kwa kuomba ndoa bali inabidi matendo yaonyeshe kuwa yeye ni mke mwemaNi kweli na ni vyema pia kutambua nguvu ya ushawishi ambayo mwanamke anayo katika suala la mwanaume kutaka kumuoa