Kuwa single mateso

Kuwa single mateso

Nini hasira tena
Afu leo umepata kibarua nini maana umeniacha online me na @mzabzab๐Ÿ˜’
Kulipata bundle ilibidi hadi kufua na kusafisha banda la kuku, ndio bi mdash kaninga cha buku mbili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kulipata bundle ilibidi hadi kufua na kusafisha banda la kuku, ndio bi mdash kaninga cha buku mbili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Aaahh madogo leo wameenda shule ndo maana. Kama nakuona ulivyonyanyua miguu kwenye hayo makochi unaperuzi zako baada ya kazi ngumu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Aaahh madogo leo wameenda shule ndo maana. Kama nakuona ulivyonyanyua miguu kwenye hayo makochi unaperuzi zako baada ya kazi ngumu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Aaah wapi naingia jikoni sasa hivi kuwapikia mmbwaaa.. Ila ipo siku yanguu tuuu na mie ntabarikiwaa๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Ndio ivyo wanaume wakweli tumebaki wachache sanaa ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’, ila mbona mzabzab ni jobless mwenzangu ila ana wapenzi.. Au mie kwakua houseboy wa home๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ
Ndio jaman mwanaume toka hata nje ukabebe zege na magunia ya mchele๐Ÿ˜’unakaa ndani kama utumbo akhaaaa sikutaki mie
 
Back
Top Bottom