Kuwa tajiri hapa bongo si mchezo Kuna mambo mengi ya kupitia.

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Ukitaka kuwa tajiri let say ukiwa mfanyakazi lazima uibe sana kama wafanyavyo TRA hasa wa firodha na wafanyakazi wa bandari.

Ukiwa dada lazima uliwe sana au uwategeshee Mimba matajiri ili watunze mtoto na wewe.

Ukiwa mbunge au mwanasiasa lazima uue albino sana kama anavyofanya musukuma na kingwangara.

Ukiwa mchungaji lazima uloge sana ili upande cheo haraka kama wafanyavyo mapadre wanapousaka uaskofu. Au wachngaji akina masanja kwenda USA na Nigeria daily kufukiza.

Ukiwa mfanyabiashara au mwanamziki huruhusiwi kuoa ili uwe giant kama ilivyo kwa akina diamond na vunjabei au saa nyingine huruhusiwi kuvaa viatu kama akina mpoto na mmililiki wa landmark hotel.

Utajiri si mchezo lazima uikane nafsi yako. Naskia hata lecturing weng wao ni ndumba tupu.
 
Ngamia atapenya kwenye tundu la sindano ila tajiri Ni ngumu kuuona ufalme wa mbinguni
 
Ukitaka kuwa tajiri let say ukiwa mfanyakazi lazima uibe sana kama wafanyavyo TRA hasa wa firodha na wafanyakazi wa bandari.

Ukiwa dada lazima uliwe sana au uwategeshee Mimba matajiri ili watunze mtoto na wewe.

Ukiwa mbunge au mwanasiasa lazima uue albino sana kama anavyofanya musukuma na kingwangara.

Ukiwa mchungaji lazima uloge sana ili upande cheo haraka kama wafanyavyo mapadre wanapousaka uaskofu. Au wachngaji akina masanja kwenda USA na Nigeria daily kufukiza.

Ukiwa mfanyabiashara au mwanamziki huruhusiwi kuoa ili uwe giant kama ilivyo kwa akina diamond na vunjabei au saa nyingine huruhusiwi kuvaa viatu kama akina mpoto na mmililiki wa landmark hotel.

Utajiri si mchezo lazima uikane nafsi yako. Naskia hata lecturing weng wao ni ndumba tupu.
Unamanisha utajiri wa mali au wanafsi?
 
asipo oa mwenye fedha ni uchawi ila nisipo oa mm mwenye madafu ni saws

nisipo vaa viatu mm sawa asipo vaa tajiri ni maagano

sasa mpoto ana utajiri gani, mwiguru hela anaipata kwa kutuibia

vunja bei ana utajiri gani, sema kagundua mapema tunapenda vya bei chee kazama china anatuletea midosho

aya tupe mashart ya marehemu Mengi, bakhresa, mo, mafuru, na mfanano wao
 
Imani za kishirikina hizi...
Utajiri ni kiwango kipi?
Wapo watu Wana mishahara kuanzia
Milioni 5 Kwa mwezi..karibu milioni 60 Kwa mwaka ...akiingia Benki unajua anakopa kiasi gani??

Acha mawazo ya kishirikina
 
Bado ni masikini, mwajiriwa nje ya wizi ni masikini tu.
Kukopa Sio kutoka, unaweza ukakopa ukaingiza kwenye project ukala za uso pia
 
Ukitaka kuwa tajiri let say ukiwa mfanyakazi lazima uibe sana kama wafanyavyo TRA hasa wa firodha na wafanyakazi wa bandari.

Ukiwa dada lazima uliwe sana au uwategeshee Mimba matajiri ili watunze mtoto na wewe.

Ukiwa mbunge au mwanasiasa lazima uue albino sana kama anavyofanya musukuma na kingwangara.

Ukiwa mchungaji lazima uloge sana ili upande cheo haraka kama wafanyavyo mapadre wanapousaka uaskofu. Au wachngaji akina masanja kwenda USA na Nigeria daily kufukiza.

Ukiwa mfanyabiashara au mwanamziki huruhusiwi kuoa ili uwe giant kama ilivyo kwa akina diamond na vunjabei au saa nyingine huruhusiwi kuvaa viatu kama akina mpoto na mmililiki wa landmark hotel.

Utajiri si mchezo lazima uikane nafsi yako. Naskia hata lecturing weng wao ni ndumba tupu.
Kawaulize hao walio matajiri watakupa njia wamefikaje sio kulalamika wakati matajiri wapo kimya!
 
Back
Top Bottom