Viongozi wa siasa wanapaswa kuwa makini na kauli wanazotoa wawapo majukwaani. Malumbano ya kisiasa hayapaswi kutawaliwa na jazba au mihemko kwa namna yoyote kwani kufanya hivyo kwaweza kuleta kutoelewana kwa pande mbili.
Kiongozi hawezi kuwa sawa kwa mfano kwa kuwaambia wengine kuwa wameota mikia! Kauli hii imebeba dharau na kiburi na haipaswi kutolewa na kiongozi yeyote wa Umma.
Kiongozi hawezi kuwa sawa kwa mfano kwa kuwaambia wengine kuwa wameota mikia! Kauli hii imebeba dharau na kiburi na haipaswi kutolewa na kiongozi yeyote wa Umma.