pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kwa hiyo serikali ipo kazini "kukata mikia" sio!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wakumbuke vyeo walivyonavyo si vya milele. Hata kinga ya kisheria iliyopo kwa Kiongozi yeyote inaweza kufutwa na wengine mbeleni. Vile vile kwenye Siasa kama hamtofautiani kwa hoja basi ni Chama kimoja na wote kukubaliana kuwa kitu kimoja.Viongozi wa siasa wanapaswa kuwa makini na kauli wanazotoa wawapo majukwaani. Malumbano ya kisiasa hayapaswi kutawaliwa na jazba au mihemko kwa namna yoyote kwani kufanya hivyo kwaweza kuleta kutoelewana kwa pande mbili.
Kiongozi hawezi kuwa sawa kwa mfano kwa kuwaambia wengine kuwa wameota mikia! Kauli hii imebeba dharau na kiburi na haipaswi kutolewa na kiongozi yeyote wa Umma.
Viongozi wa siasa wanapaswa kuwa makini na kauli wanazotoa wawapo majukwaani. Malumbano ya kisiasa hayapaswi kutawaliwa na jazba au mihemko kwa namna yoyote kwani kufanya hivyo kwaweza kuleta kutoelewana kwa pande mbili.
Kiongozi hawezi kuwa sawa kwa mfano kwa kuwaambia wengine kuwa wameota mikia! Kauli hii imebeba dharau na kiburi na haipaswi kutolewa na kiongozi yeyote wa Umma.
Wananchi wake walimchoka na ndio walioanza kupambana naye, Magharibi walikuja kumalizia tuu, na waafrica sio wapumbavu wasimame na mtu kwa sababu tuu ni mwafrica mwenzetu, madikteta wote, mafisadi na viongozi wa hovyo wasiojali Maisha na uhai wa wananchi wake , all must go, huyu wa kwetu watu wanatekwa wanauliwa, anaondoa watu kwenye ardhi yao Kwa nguvu etc yeye Yuko kimya tuu halafu anakuja kusingizia watu uhaini, aondoke tuu na yeyeGadafi aliwindwa na nchi za magharibi, hakuna kosa kubwa viongozi wa Afrika walifanya kama kutosimama na Gadafi!
That means hao siyo watu tena, wakisha kuota Mikia hao ni wanyama. Kwa hili huyu mama alipitiliza mipasho yake. Hii nafasi ina staha zake na namna unavyopaswa kuongea katika hadhara. Huyu ni kwamba haambiliki naye au ni wanaopaswa kumuelekeza hawafanyi kazi hiyo inavyopaswa. Not once , not twice amekuwa akitoka kwenye reli wakati anaongea na hadhara. Something must be done, otherwise nafasi na Kiti hiki hatuitendei haki. Mambo ya uswahilini yanabakia huko uswahilini, ukishapewa majukumu kama haya unaachana na hizo acts za huko uswahilini kwetu.Viongozi wa siasa wanapaswa kuwa makini na kauli wanazotoa wawapo majukwaani. Malumbano ya kisiasa hayapaswi kutawaliwa na jazba au mihemko kwa namna yoyote kwani kufanya hivyo kwaweza kuleta kutoelewana kwa pande mbili.
Kiongozi hawezi kuwa sawa kwa mfano kwa kuwaambia wengine kuwa wameota mikia! Kauli hii imebeba dharau na kiburi na haipaswi kutolewa na kiongozi yeyote wa Umma.
Kwani mama yake ni Mtu wa Pwani au ni wa Bara. Sisi huku Bara, haka hatunaga hiyo mipasho ! Mkubali kuishi nayo.Halafu mtoto anadai anaumia sana mzazi wake anapotukanwa! Lakini yeye kutukana wengine ni sawa!
Kumbuka huyu alikuwa Kiongozi wa nchi ambaye alifanya makubwa sana kwa nchi yake, lakini pia alifanya makubwa sana kwa Africa, Alionewa ndani ya ardhi ya Afrika mbele ya Waafrika wenzie.Wananchi wake walimchoka na ndio walioanza kupambana naye, Magharibi walikuja kumalizia tuu, na waafrica sio wapumbavu wasimame na mtu kwa sababu tuu ni mwafrica mwenzetu, madikteta wote, mafisadi na viongozi wa hovyo wasiojali Maisha na uhai wa wananchi wake , all must go, huyu wa kwetu watu wanatekwa wanauliwa, anaondoa watu kwenye ardhi yao Kwa nguvu etc yeye Yuko kimya tuu halafu anakuja kusingizia watu uhaini, aondoke tuu na yeye
Tukubali na nani! Na tukubali nini! Elewa kwanza kitu kilichoandikwa.Kwani mama yake ni Mtu wa Pwani au ni wa Bara. Sisi huku Bara, haka hatunaga hiyo mipasho ! Mkubali kuishi nayo.
Wazanzibar Kwa matusi ni kama kalio na NepiViongozi wa siasa wanapaswa kuwa makini na kauli wanazotoa wawapo majukwaani. Malumbano ya kisiasa hayapaswi kutawaliwa na jazba au mihemko kwa namna yoyote kwani kufanya hivyo kwaweza kuleta kutoelewana kwa pande mbili.
Kiongozi hawezi kuwa sawa kwa mfano kwa kuwaambia wengine kuwa wameota mikia! Kauli hii imebeba dharau na kiburi na haipaswi kutolewa na kiongozi yeyote wa Umma.
JPM alimwambia mwanachama mmoja wa CCM aliyerejea kundini kuwa amekatwa mkia, kwenye mkutano mkuu mbele ya wanachama wote!.Viongozi wa siasa wanapaswa kuwa makini na kauli wanazotoa wawapo majukwaani. Malumbano ya kisiasa hayapaswi kutawaliwa na jazba au mihemko kwa namna yoyote kwani kufanya hivyo kwaweza kuleta kutoelewana kwa pande mbili.
Kiongozi hawezi kuwa sawa kwa mfano kwa kuwaambia wengine kuwa wameota mikia! Kauli hii imebeba dharau na kiburi na haipaswi kutolewa na kiongozi yeyote wa Umma.
Marehemu JPM aliwaambia wanachama waliorudi CCM kuwa wamekatwa mikia, mbele ya wanachama wote kwenye mkutano mkuu.The hate speech.
Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.