Kuwaambia wengine move on ni rahisi sasa ngoja yakushenyete sasa

Usiwekeze resources zako kwenye mahusiano vilevile akikisha hauna scarcity of options. Wanawake wamei-master hii kanuni ndio maana baada ya breakup wana-move on haraka zaidi, kwa sababu hana cha kupoteza na tayari ana options za masimp kibao kwenye inboxes zake.

Mahusiano yakivunjika mwanamke anajua ata-date na nani baada ya hapo, lakini mwanaume hajui who will his next girlfriend. Mbadala wako tayari yupo kwenye contact list ya girlfriend wako.
 
So inatakiwa kuishi na she kwa akili
 
Kuwaambia wengine move on ni rahisi sasa ngoja yakushenyete sasa 😀😀😀💔🙌

Call it love.
3e12caf6-0db6-4229-b01b-7b319164ae55.jpeg

Wapi mkandarasi wa moyooo 😁😁
 
Back
Top Bottom