Tunataka kukufundisha adabu tuMbona ni wingi tena,
Ushawahi kula nyati binti na serengeti pembeniSitaki
πππ angalieniTunataka kukufundisha adabu tu
NishakulaUshawahi kula nyati binti na serengeti pembeni
Sanaaa.Usugu muhimu!
So inatakiwa kuishi na she kwa akiliUsiwekeze resources zako kwenye mahusiano vilevile akikisha hauna scarcity of options. Wanawake wamei-master hii kanuni ndio maana baada ya breakup wana-move on haraka zaidi, kwa sababu hana cha kupoteza na tayari ana options za masimp kibao kwenye inboxes zake.
Mahusiano yakivunjika mwanamke anajua ata-date na nani baada ya hapo, lakini mwanaume hajui who will his next girlfriend. Mbadala wako tayari yupo kwenye contact list ya girlfriend wako.
Basi poleSiyo simple
Kuwaambia wengine move on ni rahisi sasa ngoja yakushenyete sasa πππππ
Call it love.
Eeh kiroho safi ili uwahi kupona au sio.Ni ku move on tu ndo suluhu
Unaweka song on a repeating mode hapo dj usipige chikichiki hahahahaa nyieeeeeView attachment 3603107
Wapi mkandarasi wa moyooo ππ
Haihitaji akili kubwa ndugu yangu. Wewe jipe tu kipaumbele mwenyewe. Don't invest in relationship at expense of your peace, dignity, resources and plansSo inatakiwa kuishi na she kwa akili