kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Iko hivi. Kama ulisoma O-Level na Alevel au moja wapo private basi kupata mkopo toka Loarn board ni shida. Private secondary school zilikua zinasaidia kupunguza mzigo wa kuendsha elimu kwa serikali. The same vyuo vikuu.
Ujue serikali inafadhiri shule zake kwa idadi ya wanafunzi shuleni. Wazazi wenye uwezo wa wastani amba ndo the majority Tanzanians , taraatibu wameanza kuacha watoto wasome tu hizo shule za serikali ili Kuwa karibu na uwezekano wa kupata mikopo mda ule wa kujoin vyuo. Na hiI nikwasababu wengi wa wanafunzi wanao kosa mkopo nakushindwa kuendelea na elimu ya juu wale waliosoma private.
Tuelewane kidogo hapa. Kama learn board wanadai wazazi wa hawa watoto wanauwezo, nikwanini wanaacha vyuo na kurudi nyumbani? Jibu ni kwamba, to majority of the midle income Tanzanians elimu ya chuokikuu ni expensive.
Secondary ukilipa ada na michango say jumla ya million mbili na nusu kwa mwaka mtoto atasoma atakula nakulala. University za serikali mfano. Ada na michango kwa mwaka million mbili. Kula na accommodation, stationery can amount to million mbili na nusa.
Ole wako mtoto achaguliwe private sasa. ada inaweza Kuwa 5million kwa mwaka. Michango milioni moja per year.
Meal, acmmodation, stationary 2.5million. Mtu kipato cha kati hatomudu na mtoto atarudi nyumbani.
Kuepuka hili kuna taarifa ya congestion kwenye shule secondary za umma. Na bado maana kunahofu mtoto akisoma private secondary school hakopesheki.