Kuwabagua waliosoma private mikopo elimu ya juu kunaenda kuigharimu Serikali

Sasa mtoa mada. Ulitaka st kayumba anyimwe alafu apewe wa Private.
Labda ungesemea tu kuwa loan na serikali waangalie namna ya kuongeza bajeti.

Japo inaumiza kukosa mkopo. Ila ni maumivu makali kwa alieasoma St Kayumba kukosa.
St Kayumba akikosa mkopo hata chuoni haendi. Achana na hio ya kukatisha masomo.
 
Sasa akipewa huyo aliesoma private hatoweza kulipa? Poor reasoning!
Preference, nani muhitaji zaidi.
Hoja ya kodi nimeipinga kwa kusema ni mkopo. Sio kupewa bure.
The same illogical
 
Sasa mtoa mada. Ulitaka st kayumba anyimwe alafu apewe wa Private.
Labda ungesemea tu kuwa loan na serikali waangalie namna ya kuongeza bajeti.

Japo inaumiza kukosa mkopo. Ila ni maumivu makali kwa alieasoma St Kayumba kukosa.
St Kayumba akikosa mkopo hata chuoni haendi. Achana na hio ya kukatisha masomo.
Halafu, msichukulie kuwa kusoma "St. Kayumba" kama ni ulemavu, nao pia wana walezi/wazazi, hoja kuwe na usawa linapokuja suala la financing elim ya juu.
 
Sio kwamba ni ulemavu.
Mcheza kwao hutuzwa.

Kama uliona unajimudu kujisomesha endelea mpaka umalize chuo kikuu.

Na wengi ukikuta kakosa kabisa mkopo. Mara nyingi ada yake may be ilikuwa 2m+

Sasa huyu utamuka kundi moja na aliesoma ada 70k
 
Preference, nani muhitaji zaidi.
Hoja ya kodi nimeipinga kwa kusema ni mkopo. Sio kupewa bure.
The same illogical
Huo ni mkopo ku-finance gharama za elim ya juu, wala sio mkopo wa biashara, wote wanauhitaji sawa.
 
Baheti haitoshi ndio maana wanaangalia kwanza. Wenye uhitaji zaidi.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Hapo tulilie bajeti iongezwe ili kila mtu anaetaka mkopo apate.

Tena wawe wanawebembeleza. Jamani kiasi fulani kimebaki ombeni mkopo.

Ila kama bajeti itaendelea kuwa finyu. Malamiko hayawezi kuisha.
 
Ndo unamaanisha nini?
Waliosoma shule za Government watapewa kipaumbele.
Huwezi mchukua mtoto aliesoma Ilboru na Feza uwawele kundi moja kwenye uhitaji wa mkopo. Haiwezekani kwa bajeti hii Finyu.
 
Sasa mtoa mada. Ulitaka st kayumba anyimwe alafu apewe wa Private.
Labda ungesemea tu kuwa loan na serikali waangalie namna ya kuongeza bajeti.

Japo inaumiza kukosa mkopo. Ila ni maumivu makali kwa alieasoma St Kayumba kukosa.
St Kayumba akikosa mkopo hata chuoni haendi. Achana na hio ya kukatisha masomo.
Nilitaka iwe hivi. meal na accomodation wapewe watoto bila kujali alisoma wapi. ada ndio iwe na utofauti. kumbuka elimu chuo kikuu ni gharama sana tofauti na kule private ambako unalipa ada then mtoto anasoma nakula huko shule na shule zingine za private ada ni ndogo sana. fikiria kuna shule ada ni laki tisa na nusu na unailipa kwa installment nne. chuo kuna ada, accomodation, chakula, stationary
 
Waliosoma shule za Government watapewa kipaumbele.
Huwezi mchukua mtoto aliesoma Ilboru na Feza uwawele kundi moja kwenye uhitaji wa mkopo. Haiwezekani kwa bajeti hii Finyu.
Inaonekana hata mambo ya elimu ya juu hufuatilii kwa ukaribu, so called, "Samia Scholarships" isingejumuisha waliotoka private schools.
 
Nilitaka iwe hivi. meal na accomodation wapewe watoto bila kujali alisoma wapi. ada ndio iwe na utofauti. kumbuka elimu chuo kikuu ni gharama sana tofauti na kule private ambako unalipa ada then mtoto anasoma nakula huko shule na shule zingine za private ada ni ndogo sana. fikiria kuna shule ada ni laki tisa na nusu na unailipa kwa installment nne. chuo kuna ada, accomodation, chakula, stationary
Wengi waliosoma shule za ada chini ya Milioni mbili huwa wanapata boom.

Labda ifahamike kwao wana uwezo.
 
Kwani malengo ya Samia Scholarship na ufadhili wa Heslb wana common goal au vision.
Kila kimoja kimeanzisha kwa manufaa yake. Too different things.
 
Wewe unaelewa mazingira halisi yalivyo huko juu, utofauti ungekua katika ada tu, hivo vingine ni ghali sana, Meals n Accomodations, stationaries.
 
Kwani malengo ya Samia Scholarship na ufadhili wa Heslb wana common goal au vision.
Kila kimoja kimeanzisha kwa manufaa yake. Too different things.
Wewe unavoona hawana "common goals?
 
Mda umeanza kuongea. Congestion kwenye shule za boarding serikali ni kwavile wazazi walokua wanapeleka watoto private wanajua adhabu yake ni kunyimwa mkopo. Sikumoja nimeenda shule moja pale iringa, chumba mabwenini kulikua double deca 3 inatakiwa iongezwe ya nne kulale wanafunzi nane. Maana wanafunzi ni wengi sana
 
Wengi waliosoma shule za ada chini ya Milioni mbili huwa wanapata boom.

Labda ifahamike kwao wana uwezo.
Chief nina rafiki yangu anafanya kazi jeshini na mshahara mnono tu. Watoto wake wawili wamesoma shule za serikali o-level na A-Level. Wote wamepata mkopo. Hawa wana baba na mama. Kwahiyo kumbe wote tupeleke watoto shule za serikali maana inaonesha ukipeleka private umefungiwa milango mkopo
 
Back
Top Bottom