At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Kazi za wazazi sio kiwazo kwenye kupata mkopo.Chief nina rafiki yangu anafanya kazi jeshini na mshahara mnono tu. Watoto wake wawili wamesoma shule za serikali o-level na A-Level. Wote wamepata mkopo. Hawa wana baba na mama. Kwahiyo kumbe wote tupeleke watoto shule za serikali maana inaonesha ukipeleka private umefungiwa milango mkopo
Na kuna udanganyifu ujue.
Anaweza akajaza peasants ilhali mzazi wake ni CEO.
Na wengine huwa wanafanya siri anaomba mkopo.
Afu wazazi anawaambia sina mkopo.