At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Huo ni mkopo. Sio unapewa kwa bwerere iko siku utalipaKodi si inalipwa na watanzania wote masikini kwa matajiri? ina maana gani kusema kusema fulani apate mwingine asipate?
Sasa akipewa huyo aliesoma private hatoweza kulipa? Poor reasoning!Huo ni mkopo. Sio unapewa kwa bwerere iko siku utalipa
Weka wazi tu kuwa muda watoto wapo chuo wazazi wengi wanakuwa ni waa staafusio kila siku mtu atakuwa na pesa
Preference, nani muhitaji zaidi.Sasa akipewa huyo aliesoma private hatoweza kulipa? Poor reasoning!
Halafu, msichukulie kuwa kusoma "St. Kayumba" kama ni ulemavu, nao pia wana walezi/wazazi, hoja kuwe na usawa linapokuja suala la financing elim ya juu.Sasa mtoa mada. Ulitaka st kayumba anyimwe alafu apewe wa Private.
Labda ungesemea tu kuwa loan na serikali waangalie namna ya kuongeza bajeti.
Japo inaumiza kukosa mkopo. Ila ni maumivu makali kwa alieasoma St Kayumba kukosa.
St Kayumba akikosa mkopo hata chuoni haendi. Achana na hio ya kukatisha masomo.
Sio kwamba ni ulemavu.Halafu, msichukulie kuwa kusoma "St. Kayumba" kama ni ulemavu, nao pia wana walezi/wazazi, hoja kuwe na usawa linapokuja suala la financing elim ya juu.
Huo ni mkopo ku-finance gharama za elim ya juu, wala sio mkopo wa biashara, wote wanauhitaji sawa.Preference, nani muhitaji zaidi.
Hoja ya kodi nimeipinga kwa kusema ni mkopo. Sio kupewa bure.
The same illogical
Baheti haitoshi ndio maana wanaangalia kwanza. Wenye uhitaji zaidi.Huo ni mkopo ku-finance gharama za elim ya juu, wala sio mkopo wa biashara, wote wanauhitaji sawa.
Ndo unamaanisha nini?Sio kwamba ni ulemavu.
Mcheza kwao hutuzwa.
Waliosoma shule za Government watapewa kipaumbele.Ndo unamaanisha nini?
Nilitaka iwe hivi. meal na accomodation wapewe watoto bila kujali alisoma wapi. ada ndio iwe na utofauti. kumbuka elimu chuo kikuu ni gharama sana tofauti na kule private ambako unalipa ada then mtoto anasoma nakula huko shule na shule zingine za private ada ni ndogo sana. fikiria kuna shule ada ni laki tisa na nusu na unailipa kwa installment nne. chuo kuna ada, accomodation, chakula, stationarySasa mtoa mada. Ulitaka st kayumba anyimwe alafu apewe wa Private.
Labda ungesemea tu kuwa loan na serikali waangalie namna ya kuongeza bajeti.
Japo inaumiza kukosa mkopo. Ila ni maumivu makali kwa alieasoma St Kayumba kukosa.
St Kayumba akikosa mkopo hata chuoni haendi. Achana na hio ya kukatisha masomo.
Inaonekana hata mambo ya elimu ya juu hufuatilii kwa ukaribu, so called, "Samia Scholarships" isingejumuisha waliotoka private schools.Waliosoma shule za Government watapewa kipaumbele.
Huwezi mchukua mtoto aliesoma Ilboru na Feza uwawele kundi moja kwenye uhitaji wa mkopo. Haiwezekani kwa bajeti hii Finyu.
Wengi waliosoma shule za ada chini ya Milioni mbili huwa wanapata boom.Nilitaka iwe hivi. meal na accomodation wapewe watoto bila kujali alisoma wapi. ada ndio iwe na utofauti. kumbuka elimu chuo kikuu ni gharama sana tofauti na kule private ambako unalipa ada then mtoto anasoma nakula huko shule na shule zingine za private ada ni ndogo sana. fikiria kuna shule ada ni laki tisa na nusu na unailipa kwa installment nne. chuo kuna ada, accomodation, chakula, stationary
Kwani malengo ya Samia Scholarship na ufadhili wa Heslb wana common goal au vision.Inaonekana hata mambo ya elimu ya juu hufuatilii kwa ukaribu, so called, "Samia Scholarships" isingejumuisha waliotoka private schools.
Wewe unaelewa mazingira halisi yalivyo huko juu, utofauti ungekua katika ada tu, hivo vingine ni ghali sana, Meals n Accomodations, stationaries.Nilitaka iwe hivi. meal na accomodation wapewe watoto bila kujali alisoma wapi. ada ndio iwe na utofauti. kumbuka elimu chuo kikuu ni gharama sana tofauti na kule private ambako unalipa ada then mtoto anasoma nakula huko shule na shule zingine za private ada ni ndogo sana. fikiria kuna shule ada ni laki tisa na nusu na unailipa kwa installment nne. chuo kuna ada, accomodation, chakula, stationary
Wewe unavoona hawana "common goals?Kwani malengo ya Samia Scholarship na ufadhili wa Heslb wana common goal au vision.
Kila kimoja kimeanzisha kwa manufaa yake. Too different things.
Ndio.Wewe unavoona hawana "common goals?
Chief nina rafiki yangu anafanya kazi jeshini na mshahara mnono tu. Watoto wake wawili wamesoma shule za serikali o-level na A-Level. Wote wamepata mkopo. Hawa wana baba na mama. Kwahiyo kumbe wote tupeleke watoto shule za serikali maana inaonesha ukipeleka private umefungiwa milango mkopoWengi waliosoma shule za ada chini ya Milioni mbili huwa wanapata boom.
Labda ifahamike kwao wana uwezo.