Kuwachanganya wenye elimu na wasio na elimu kwa kazi siziso hitaji elimu ya darasani ndio kunafanya wasio na elimu waidharau elimu

Kuwachanganya wenye elimu na wasio na elimu kwa kazi siziso hitaji elimu ya darasani ndio kunafanya wasio na elimu waidharau elimu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Nimekutana na hii mada kwenye platform moja ya wazungu.

Naomba kuwasilisha hapa ili nasisi tuijadili.

"Kuwachanganya wenye elimu na wasio na elimu kwa kazi siziso hitaji elimu ya darasani ndio kunafanya wasio na elimu waidharau elimu"

Wewe maoni yako ni yepi juu ya hili.
 
Nimekutana na hii mada kwenye platform moja ya wazungu.

Naomba kuwasilisha hapa ili nasisi tuijadili. Wewe maoni yako ni yepi juu ya hili.

Je ni kweli? Kuwachanganya wenye elimu na wasio na elimu kwa kazi siziso hitaji elimu ya darasani ndio kunafanya wasio na elimu waidharau elimu
 
Vp na utaratibu wa kuweka vigezo vyenye kuhitaji watu wenye elimu ya darasani na wakati kazi zenyewe hazitumii elimu ya darasani?
 
Nimekutana na hii mada kwenye platform moja ya wazungu.

Naomba kuwasilisha hapa ili nasisi tuijadili.

"Kuwachanganya wenye elimu na wasio na elimu kwa kazi siziso hitaji elimu ya darasani ndio kunafanya wasio na elimu waidharau elimu"

Wewe maoni yako ni yepi juu ya hili.
Sio muda wote ila, kaa na mjinga sawa na ujinga wake, usije ukaonekana unajiinua, unawadharau wasio na Elimu.....
 
Ni kweli
Japo elimu inampa MTU exposure ya vitu hasa Namna mambo na mfumo inavyoenda japo si kigezo pekee Cha kufanikiwa.
Kwahiyo asiye na elimu ajione amekosa kitu kikubwa Sana asidharau elimu maana elimu haina expire date itatumiwa mahali popote na muda wowote na ktk Kazi za ubunifu na matokeo yakaonekana
 
Kuchanganya sio mbaya, sema hapo itampasa mwenye elimu aoneshe sasa ubora wake katika hiyohiyo kazi.

Aboreshe au atoe ushauri wa maana kuthibitisha elimu yake

Mi naona hiyo ni chance ya mwenye elimu na mwenye akili kun'gara haijalishi amesoma au hajasoma. Akili, akili tu mtu wangu
Nimekutana na hii mada kwenye platform moja ya wazungu.

Naomba kuwasilisha hapa ili nasisi tuijadili. Wewe maoni yako ni yepi juu ya hili.

Je ni kweli? Kuwachanganya wenye elimu na wasio na elimu kwa kazi siziso hitaji elimu ya darasani ndio kunafanya wasio na elimu waidharau elimu
 
kwa hali ya ajira ilivyo Tanzania, kufanyia kazi taaluma uliyosomea ni wachache wamemudu. Wasomi wengi wameendelea kujichanganya na kufanya kazi ambazo wasio soma sana wanafanya. Mfano Kariakoo wapo wasomi wengi wenye hadi digrii mbili wanafanya kazi wafanyazo machinga.

Dharau zinakuja pale alosoma anapoanza elezea nadharia alizosomea na kujaribu kuzieka katika kazi na utekelezaji kuwa mgumu ama kutotekelezeka. Ka msomi hana majigamboo basi kila mtu hufanya yake kimya kimyaaa na wanaeza wasiosoma wasijue taaluma yako wakakuona ka mwenzao tuu na kukupa ubuyu wa maana
 
Back
Top Bottom