kwa hali ya ajira ilivyo Tanzania, kufanyia kazi taaluma uliyosomea ni wachache wamemudu. Wasomi wengi wameendelea kujichanganya na kufanya kazi ambazo wasio soma sana wanafanya. Mfano Kariakoo wapo wasomi wengi wenye hadi digrii mbili wanafanya kazi wafanyazo machinga.
Dharau zinakuja pale alosoma anapoanza elezea nadharia alizosomea na kujaribu kuzieka katika kazi na utekelezaji kuwa mgumu ama kutotekelezeka. Ka msomi hana majigamboo basi kila mtu hufanya yake kimya kimyaaa na wanaeza wasiosoma wasijue taaluma yako wakakuona ka mwenzao tuu na kukupa ubuyu wa maana