Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 268
- 639
mbapeKwahiyo makolo watamsajili Manzoki?
Kwa nini unasema hilo, si ungesubiri uone kama atashindwa kusajili? 2😂“ Kila mwaka tutasajili mchezaji mmoja ambaye Wanasimba wanamtaka, tutakuwa tunaambiwa na sisi tutakuwa tunamsajili."- Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Jayrutty Investment Company Limited, CPA Joseph Rwegasira.
My take:
Huu ni uongo wa wazi kabisa, jamaa hata hajatumia nguvu kuwahadaa wana SimbaView attachment 3306666
Hii MIJITU, inachojua ni wivu tu!Nyie tulizeni vitobo vyenu
Ameshatoa 30% ya thamani ya mkataba kwa mwaka mmoja. Nadhani hapo tayari ni zaidi ya mil 500.Kumbukeni ni Mhaya huyo.. hapo simba wakiambulia hata mil 500 washukuru
Tunataka maendeleo usiwe kama ngwaji boy,lala ukue,kama una uchungu hamia Kizmkazi“ Kila mwaka tutasajili mchezaji mmoja ambaye Wanasimba wanamtaka, tutakuwa tunaambiwa na sisi tutakuwa tunamsajili."- Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Jayrutty Investment Company Limited, CPA Joseph Rwegasira.
My take:
Huu ni uongo wa wazi kabisa, jamaa hata hajatumia nguvu kuwahadaa wana SimbaView attachment 3306666
Huyo sukari wa Mobeto noopTunamtaka Aziz Ki msimu ujao😎
kwakweli sasa hivi manzoki ndani...Kwahiyo makolo watamsajili Manzoki?
Nani achukue makapi?Tunamtaka Aziz Ki msimu ujao[emoji41]
Kamba hiyo... hakuna Mhaya mzembe hivyoAmeshatoa 30% ya thamani ya mkataba kwa mwaka mmoja. Nadhani hapo tayari ni zaidi ya mil 500.