Kuwadanganya wana simba hata hutumii nguvu nyingi

Kuwadanganya wana simba hata hutumii nguvu nyingi

“ Kila mwaka tutasajili mchezaji mmoja ambaye Wanasimba wanamtaka, tutakuwa tunaambiwa na sisi tutakuwa tunamsajili."- Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Jayrutty Investment Company Limited, CPA Joseph Rwegasira.

My take:
Huu ni uongo wa wazi kabisa, jamaa hata hajatumia nguvu kuwahadaa wana SimbaView attachment 3306666
Kwenye hiyo statement amewafanya wanasimba mbumbumbu kabisa. "Tutakuwa tunaambiwa na sisi tunamsajili." Halafu watu wanapiga makofi. Haiwezi tokea. Wachezaji sio nyanya zilizopangwa sokoni. Wana mikataba yao na mapendezi yao binafsi. Si wakati wote pesa inakupa unachotaka.
 
Ni suala la muda kabla ya vilio kuanza kusikika mitaa ya Msimbazi, baada tu watu kuingizwa mkenge kutokana tu na umbumbumbu wao.
 
Mashabiki wengi wa Yanga hamnazo.
Wengi hawanaga akili.
Ni dhahiri kabisa.
 
Back
Top Bottom