Kuwadanganya wana simba hata hutumii nguvu nyingi

Kwenye hiyo statement amewafanya wanasimba mbumbumbu kabisa. "Tutakuwa tunaambiwa na sisi tunamsajili." Halafu watu wanapiga makofi. Haiwezi tokea. Wachezaji sio nyanya zilizopangwa sokoni. Wana mikataba yao na mapendezi yao binafsi. Si wakati wote pesa inakupa unachotaka.
 
Ni suala la muda kabla ya vilio kuanza kusikika mitaa ya Msimbazi, baada tu watu kuingizwa mkenge kutokana tu na umbumbumbu wao.
 
Mashabiki wengi wa Yanga hamnazo.
Wengi hawanaga akili.
Ni dhahiri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…