Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

ukishatoka mhindi na mwarabu anafuata mchaga

Ngoja niweke karata yangu moja mezani

Bus karibu zote zinazoenda mikoa ya kaskazini na kaskazini kwenda nchi nzima wanamiliki wachaga wenyewe/watu wenye asili ya kule

Vingine watasema wengine
 
Mbona umeumia mpaka ukaanzisha Uzi baada ya kuusoma ule wa wakinga kuwapiku wachagga?


Jipambanue tu kuwa we ni chagga OG.
 
Wachagga siyo kabila!
 
Wazenji ndo balaa kwa biashara nashangaa

Au labda wanasemea wale wenye maduka ya 400k.


Ila kwa majina maarufu na biashara kubwakubwa sijawahi kusikia mkinga au chagga napo alikuwepo mengi nae ni marehemu.
 
Sitakuwa biased na kabila lolote japo kabila langu limetajwa hapo juu,kibongo bongo mtu yeyote anaweza kufanya biashara ila kuna baadhi kila wanapofanikiwa ndo wanavyozidi kujiongezea matumizi,na hawa ndo hasa wanao-fail.nina jamaa yangu ana pikipiki yeye yupo nje ya mji akija Kariakoo kufungasha pikipiki anailipia parking (I mean anaipak zinakopaki gari wekeni tickets nitalipa) ikikaa masaa manne 2K mara wik&mwezi?jibu unalo!

Yupo mmoja alikuwa amepanga Mwembechai chumba na sebule alipoona ameinuka akaja kupanga town ghorofani upande mzima,mtu alikuwa anapanda bus anaacha anaingia kupanda Bodaboda mpaka kwao 6K asubuhi na jioni hatujui humu humu ndiko tunakopigana ma-gap,wewe unahama chumba na sebule 80K unakuja ghorofani 500K mimi nabaki chumba kimoja 40K nadunduliza nanunua kiwanja najenga nyumba naingia bank nachukua hela naji-boost nakuacha unagara gara ukisema ubishane na mimi kwamba na wewe ujenge ili ukakopee unatoa hela dukani unajengea mpaka mtaji unajiangusha unafunga biashara nyumba imeishia kwenye lintel unabaki huna mbele wala nyuma.

Mimi naamini kabisa wapo watu wameumbwa kufanya biashara na wapo walioumbwa kufanya mambo mengine na wote hao wapo ktk makabila yote so ni mtu kujitambua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huna unachojua Mkuu

Wewe unazungumzia shule ambazo kwa sasa kila jamii imepeleka watoto shule.
Mnapeleka watoto shule kipindi elimu ikiwa haina dili tena 😀 😀 😀

Ukitaka ujue nikisemacho sogea hapa Nairobi, Jobeg, Marekani utaelewaa vizuri,
 
Wazenji ndo balaa kwa biashara nashangaa

Au labda wanasemea wale wenye maduka ya 400k.


Ila kwa majina maarufu na biashara kubwakubwa sijawahi kusikia mkinga au chagga napo alikuwepo mengi nae ni marehemu.
Kwahyo kwako BM au Kidia one sio kubwa? Au tuseme Bus za Kilimanjaro sio kubwa? Ok
 

Kweli kabisa hata ukisoma Kozi ya ujasiriamali ngazi ya shahada wanakuambia biashara wakati mwingine inatokana na asili
Kidunia Wahindi ndio wanaongoza kwa biashara, kwa bongo ni wachaga, waha, wakinga
 
picha
 
Umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…