Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

Ukweli upi sasa?
Fahari ya ubabe, jeuri, matusi, zarau HEWA

Ndivo vilivyowafanya wanawake wakawasaliti Kule.


Kulikuwa na haja gani ya kutukana? Kwamba uonekane ndo umeshinda?



OK


Umeshashinda sasa.
 
Mkae mjenge vikabila vyenu hvyo, hakuna mchaga haendi moshi kwa kusafirishwa na mwarabu, bus karibu zote ni zao wenyewe

Hata huko kwenu anawapeleka vile vile, kua na anadabu
Tatizo nguvu nyingi unawekeza kwenye hasira
 
sure mkuu,hawakawii kukuita mchawi.
 
ukishatoka mhindi na mwarabu anafuata mchaga

Ngoja niweke karata yangu moja mezani

Bus karibu zote zinazoenda mikoa ya kaskazini na kaskazini kwenda nchi nzima wanamiliki wachaga wenyewe/watu wenye asili ya kule

Vingine watasema wengine
Ndo manaaa....ni kasema kuna wafanyabiashara na wachuuzi bila kusahau wamachinga.
 
Kuna watu ni successful na very smart.

Ila kuna takataka zina kelele mnooooo.

Zikinunua hata Kirikuu mamaeeee, utasikia chaliii yangu hunaye ela wewe
 
Mkae mjenge vikabila vyenu hvyo, mchaga haendi moshi kwa kusafirishwa na mwarabu, bus karibu zote ni zao wenyewe

Hata huko kwenu anawapeleka vile vile, kua na anadabu
Kwa hiyo una advocate kwamba tupande mabasi kikabila let me hii ?? Kwa mantiki hii huamini kuwa chini ya kiongozi ambaye si kabila lako??
 
Wazenji ndo balaa kwa biashara nashangaa

Au labda wanasemea wale wenye maduka ya 400k.


Ila kwa majina maarufu na biashara kubwakubwa sijawahi kusikia mkinga au chagga napo alikuwepo mengi nae ni marehemu.
Hawaja tembea hawaa...wanachanganyikiwa na yale mabox yutong yanayoendaga kwao...mchaga akimiliki yale 10 Basi wameshampa credit πŸ’―
 
Hawaja tembea hawaa...wanachanganyikiwa na yale mabox yutong yanayoendaga kwao...mchaga akimiliki yale 10 Basi wameshampa credit πŸ’―

Hawajatembea wapi?

Matajiri wa nchi hii tunawajua wachaga, sasa wewe sijui umetembea wapi huko wasipowajua hao jamaa

Wachaga wanaongoza Karibu kila biashara kubwa uijuayo.

Media kubwa
Itv, EAtv, Capital yawachaga

Mtandao MKUBWA wa kijamii Afrika mashariki
Jamii Forum, ni Mhaya na mchaga

Makampuni ya Mabasi ya 30% ni wachaga

Kampuni za ndege mbili Fastjet na Precise airline wachaga

Mashule binafsi mengi ya wachaga

Benki karibia tatu zinamilikiwa na wachaga

Nusu ya makampuni ya utalii hapa nchini humilikiwa na wachaga

Makamouni ya kuagiza vipuri vya magari kama 7General mengi humilikiwa na wachaga

Huwajui vizuri hao watu kamuulize Babaako au wakuu wa nchi wakuambie.

Wachaga wanamiliki baadhi ya vyuo hapa nchini

Wachaga wanashule za kutosha mathalan Baobao High school, Dar prime high school, na SHULE kubwa maarufu jina kapuni.

Huwajuit
 
Miaka 60 toka Uhuru,Bado unaongea ukabila!!

Ngedelecc,,,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmmh! mkipunguza kidogo ulevi mtaanza kuwafikia wanyakyusa mm sio mnyakyusa ila kwa mambo ya baraka za mungu kibongo kibongo hao ndio frame of reference. Lakini kujilinganisha na waisrael ni mbingu na ardhi
 
Huwezi kufananisha wachaga na wakinga kwasababu zifuatazo kwasababu tuu wachaga ni miongoni mwa makabila makubwa Tanzania ni la tatu Kwa ukubwa. Wakinga ni miongoni mwa vikabila vidogo vidogo kilichopo wilayani Makete. Pamoja na hayo. Pamoja na kuwa Kabila dogo Tanzania wakinga ni Kabila lenye mafankio makubwa kwenye Nyanja ya biashara nchi nzima ni mashabidi. Ukichukua Ile ratio ya wachaga kiuchumi wakinga wanawazidi wachaga Kwa umbali mrefu kabisa. Icho ulichokisema wakinga wapo Dar, Iringa, sio kweli southern highands kuanzia mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe , Njombe, Iringa , Ruvuma ,Mtwara ,Iringa , Mtwara na Dar na sehemu nyingi alipodominate Mkinga mfanyabiashara wa kichaga hawapatikani kwasababu nguvu ya Mkinga. Kilichokuwa kinawasaidia wachaga ilikuepo ni elimu ambayo hivi sasa hata wakinga wanasoma Kwa kasi ya ajabu na kuna wasomi wa kutosha. Hizi ni Chenga kuona wachaga pamoja na population ya 4,000, 000 unaanza kushindana na wakinga wenye population ya 150,000 tuu.
 
nayo ni fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…