Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

Ni swala la muda tu, hawa wakinga aisee ni wachache sana lakini kwa spidi wanayokuja nayo kiasi cha kuanzishiwa maada za kulinganishwa na wachaga basi ni dhahiri sio wa kubezwa.

Wakinga na wachaga wote nmekaa nao.

mkinga ni ushirikiano na matumizi kidogo sana

Wachaga ni ubepari na matumizi mengi sana hasa pombe ila mda wa kazi ni kazi haswa.

Kwa huku mbeya wakinga ni kama washaimeza kiuchumi.

kumbukeni tu, wakinga ni wachache sana, lakini kwa hii spidi, mhh, acha kabisa, wao hawana time na mambo ya ajira wao ni biashara kama biashara tu.

Wachaga naona salary hizi zimeanza kuwadumaza na kuacha utamaduni wao wa biashara kadri siku zinavyoenda.

Hapo dar tu naona kuna mkinga anatikisa sana na hizi nguo jina limenitoka, Jamaa wanakuja kwa kasi ya ajabu saizi wana kampuni yao ya kuagiza mizigo kutoka china na huko china ni wamejazana sana
 
huu uzi kuna chai nyingi sana

Wachaga gani wamevamia uchungaji kiasi cha kutikisa.

Viongozi nusu wameoa wachaga ulikwishawai ona wapi 😂😂
 
Embu polepole basi mkuu...

Kumbe ndo mlivyo so ata rais angekuwa mchaga mngeimilikisha Tanzania yetu iwe ya mchaga....ndo mana yule jamaa walimpiga ban

Embu njoo na facts kwa hvyo unavyovitaja....usije ukawa kama wale shabiki wa wasafi kusema wasafi media inamilikiwa na mond kumbe kuna mtu ana own majority shares.😃😅

Hivi na yule aliekuwa na kiwanda cha chibuku ni mchaga??😅😃
 
acheni mambo ya ukabila humu kawaulize wenzetu wakenya jirani na , wakikuyu na wajaruo yaliyo wakuta watu zaidi ya efu moja waliuwana shauri ya ukabila kila siku mada zenu zinawausisha wachaga tu. Msije mkajengeana chuki bure nendeni Rwanda watu zaidi ya milion moja waliuwawa acheni kuleta ujinga humu . Makabila hayawezi kuwa yote sawa , kuna wakulima , wengine wafungaji , wengine wajenzi, wengine wavuvi, wengine wafanya biashara, wengine wawindaji, wengine mafundi tu wa magari, wengine wezi na majambazi. wengine ni uchawi tu. makabila mengine wanapesa wanakula chakula cha hovyo, wanavaa hovyo, wengine wanawake wao una pesa . hakuna ndoa wala mapenzi . makabila hayawezi kufanya mengine mtoto akiingia na lori limejaa mali za wizi baba na mama na watoto wote wanaingiza ndani na kumpa pongezi kijana na kumuombea Mungu. wakati makabila mengine ukileta mali ya wizi nyumbani unakimbizwa na risasi na baba na mama, kama hana risasi anapiga simu police. tusiangalie utajiri au umasikini, kuangalie tunafuata amri za Mungu. wako wengi utajiri walio kuwa nao wameuacha duniani unaliwa na Mchwa. acheni ukabila , Mkumbuke, Bwana Mungu maana kuishi kwetu ni Neema ya Mungu , sio fedha wala majumba wala mabus wala Maduka maana hatujui siku wala saa. pia Mungu akikujalia uwe dini gani , au kabila gani neno la Mungu linasema tuwasaidi Masikini, Yatima na wajane na wasiojiweza na wagonjwa. kabila lako na utajiri wako hauwezi kukupeleka Mbinguni . tulitoka kwa udongo , mavumbini tutarudi. tutafute Mungu vyote tutazidishiwa kwa maana Neno la Mungu linasema fedha na dhahabu na vyote vilivyomo juu ya uso wa nchi ni Mali ya Bwana Mungu wetu. wenye masikio na asikie Neno hii . hata shetani ana Mali pia sio kila Mwenye Mali kapata mali kwa njia ya Mungu wengi wamepata kupitia njia zisizo halali. jiulize habari ya tajiri na lazaro.
 
😂😂😂 rafiki yangu usipende ukabila kabisa. Acha hivyo vitu sio vizuri.
Kila mmoja anaweza kusifia chake Kama ulivyofanya wewe, na sio gharama, halafu unasifia hadi tabia za kijinga kabisa.
Mada hii ungeweza kuweka kwa namna nyingine endapo lengo lako ni kuamsha watu wapambane kupata kwa maendeleo.
Ungeweza angalia watu wenye mafanikio na wamepitia njia gani.
Ukabila hauna maana ndugu, hausaidii kabisa.
Watu wenye maendeleo yanayoweza kushawishi wengine kupitia njia zao wapo wakubwa tu wengi, Tanzania na Africa ukipenda, tupate stori zao za maendeleo tuwaambie watu, sio eti wachaga wanaodanga, wachaga wana.....
Weka mada inayotoa njia kwa wote ili usaidie jamii ya Tanzania
 
Sijawahi kuona Mchaga mwenye biashara Makambako.. Kama yupo aje hapa Villa Park.
 
Kwa hiyo una advocate kwamba tupande mabasi kikabila let me hii ?? Kwa mantiki hii huamini kuwa chini ya kiongozi ambaye si kabila lako??
Akili yako inakutosha kuvuka barabara tu
 
Akili yako inakutosha kuvuka barabara tu
Maana ukienda sijui wapi unapanda basi au mnapanda mabasi ya watu wa kwenu nafikiri ukienda bar ni hivyo hivyo na wengine wakienda kwao wanapanda mabasi ya watu "wengine"
 
Kwa nini sisi waafrika tukianza kujadili mafanikio na matatizo ya familia ,koo,kabila watu wanabeza? Ina maana sisi waafrika baada ya miaka 300 historia yetu juu ya mafanikio itakuwa ya kukisia kuksia tu.Haya mambo lazima yajadiliwe yaandikwe kwa manufaa ya vizazi vijavyo Wenzetu wanadocument kila jambo lao why not us? Watu was sayansi ya hamii kaxime wafanye kaxi yao na viwepo vitabu,majarida yakiekezea maisha yetu.Historian no muhimu sana bika kujali in duni au on njema.Tuandike tuandike.
Mwenzenu kuna jambo nataka kudocument watu hawatamini, kinanichelewesha mambo hajatulia but I must survey and document the issue.Unajua ukidocument mafanikio na matatuzo ya familia koo kabila zetu unaweza uza ukawa milionea, maana hakuna aliefanya hilo.Tuamke.
 
mmmh! mkipunguza kidogo ulevi mtaanza kuwafikia wanyakyusa mm sio mnyakyusa ila kwa mambo ya baraka za mungu kibongo kibongo hao ndio frame of reference. Lakini kujilinganisha na waisrael ni mbingu na ardhi
Sio kujilinganisha mkuu, fuatilia katika history ilo liko wazi.
 
Umechanganya damu zote hzo kwa formula gani? Hawa jamaa wa world records hawajakuona?
 
Umeongea uharo tu. Unachambua makabila kwa upendeleo. Ngoja nikwambie sasa hivi kila jamii katika nchi hii wamepiga shule. Usijidanganye kabisa. Sasa hivi wachagga ni mafukara wa kutupwa baada ya kubanwa na serikali maana waliendekeza upendeleo na kugushi vyeti ndio maana wakajaa kwenye kika secta. Sasa hivi wachagga wengi ni maskini wa na wanauza viwanja na majumba katika miji yote mikuu kwa sasa hawana namna. Kwa hiyo uchambuzi wako hauendani na hali halisi. Kajipange upya uje na facts zinazotosheleza hoja yako.
 
Msukuma anakuja kwa kasi sana "ulimora" wabeja sana
Kwenye madini mchagga hatumuoni. Ni ngosha kwa kwenda mbele. Njoo kwenye uvuvi mchagga hayupo leo anatuambia eti yuko kila mahali. Sasa wachagga wamebanwa mpaka hoteli kubwa ngurudoto zinageuzwa hosteli. Kwadanganye wachagga wenzio.
 
Muha ni mchuuzi tu. Nitajie muha mmoja tu mwenye biashara kubwa inayofahamika mbali na kuwa vimeza kwenye masoko. Bora hata msukuma wapo wenye biashara za kueleweka.
Kweli kabisa hata ukisoma Kozi ya ujasiriamali ngazi ya shahada wanakuambia biashara wakati mwingine inatokana na asili
Kidunia Wahindi ndio wanaongoza kwa biashara, kwa bongo ni wachaga, waha, wakinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…