Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

Unakariri maisha. Wakinga wa zamani sio wa siku hizi. Wakinga wa siku hizi ni wafanyabiashara wa Africa. Ukienda Congo, Zambia, Malawi, Africa kusini kote wanaenda kupeleka mzigo
 
Nitarudi
 
Cjapenda ulivowadhihaki wakwe zangu waking,hao wachaga unaowasifia hata sioni maajabu yao wakawaida tu tena asilimia kubwa ni watu wenye roho mbaya ,wanathamin Sana pesa kuliko utu,acha ukabila mbwa ww
 
Ni kweli jamii fulani hubeba hisia za mafanikio mbele ya jamii zingine, napenda kuona changamoto positive juu ya nchi yangu lkn hilo ni jema sn km sitosikia chumvi za kuongezwa na ukabila au ukanda.

Ni kweli wachaga wamekua wakifanya vizuri sn kwa miaka mingi lkn hilo lina maana kidg san ktk jamii ya sasa.

Mkinga anafanya biashara sana, wamefanikiwa sana na kwa miaka ya hivi karibuni wamekua wakizigalagaza sana jamii zingine. Well done wakinga.

Lkn ukweli tunaweza kuuweka katika makundi makuu ma3.

Uchumi (biashara)
Jamii (hasa elimu na ujanja)
Utawala (siasa na uongozi)

Uchumi kikabila, kuna zana mbili kuna ratio ya watu katika kabila fulani, na kuna gaps katika kabila fulani. Mfano kbila lenye wastani mzuri wa uchumi yan kabila ambalo halina masikin wengi ni WANYAKYUSA. hawa jamaa hawana kelele sana lkn pamoja na nguvu ya wakinga lkn hawawez kufikia level ya wastani wa maisha mbele ya mnyakyusa jamaa wako mbali sana, kweli majina ya matajir wa kinyakyusa mfano S.H AMON, FQ ambele na wengine ni kidg sana kuyasikia lkn jamaa hawana kelele wanajua nin wanafanya,

Katika biashara mchaga anamajina makubwa sana kuriko kabila lolote tanzania jamaa wanamajina sana japo wastan wa jamii yao uko ovyo sana kuna matajir na masikin hasa, kuna watu wapo Kilimanjaro mpk hii leo wanatoa funza miguuni, kuna watu hawajui hata kiswahili yan masikini mno.

Wakinga hawana majina makubwa kwasababu hawajafikia ule utajir wa kutikisa nchi au wa kuamulu uchumi wa nchi, utasikia fred vunja bei, utasikia machemba, yan bado sio wakubwa kiivyo japo wanakuja kasi sana, wanaposhindwa ni kwenye deals hawana roho ngumu kama wachaga na wanyakyusa na hapo ndipo wanabaki nyuma.

Kijamii hasa elimu na ujanja.
Wahaya, wanyakyusa na wachaga hapa ndio kwao, hayo makabila yamesoma na yamesomesha sana vijana wao, kila familia katika jamii hizo ina degree. Ni ngumu sana kukutafamilia ya bukoba haina degree, au moshi au tukuyu huko. Jamaa shule wameenda mno mno.

Shule huleta ujanja na maamuzi, katika ujanja hatuwez kuweka kabila lolote mbele ya mnyakyusa ndio anafuata mchaga, hapa ntaweka hivi, ujanja naamini n ile akili ya mtu kuchakata mambo kwa kutumia akili ili apate pesa bila kutumia nguvu au unyang'anyi. Kwanini nawaweka wanyakyusa mbele. Ukienda soweto mbeya utaelewa nini namaanisha, wajanja na matapeli wengi Tanzania ni watu wa mbeya tena chimbuko lao ni soweto. Hata kama utakutana na mchaga muhaya au mkinga au msukuma ni mjanja lakini master wake alikua n mtu wa mbeya.

Ujanja pia ni mfano katika makanisa wanyakyusa waliona tobo huko wakapamban sana kuweka utawala wao huko na walifanikiwa miaka mingi sana, mzee wa upako, mwakaseghe, mwamposa na wengine wengi wakubwa sana. Japo ujanja wa unyang'anyi wachaga ndio wenye roho ngumu hiyo wao ni wadhulumati sana lkn hawawezi kutumia akili na kuchukua pesa kama watu wa mbeya.

Siasa na uongozi,

hakuna kabila lililofanikiwa zaidi ya wachaga ktk sector hii, chadema ni yao, Tlp ni yao na kwa miaka mingi wamekua na balaza kubwa la mawaziri kutoka kwao. Hata leo hii ukiongelea CCM imefika hapo ilipo kwasababu ya mchaga pia jamaa sio wanasiasa wazuri lkn kwasababu ya kujiamn wamekua wakipenya kirahisi.

Lkn nyuma ya mchaga katika siasa hakuna kabila linalofuata katika siasa na uongozi isipokua mnyakyusa, ukiangalia wanyakyusa wanaongoza katika nyanja nying sana, kwenye majeshi ni wao tu, ukiingia ktk sector huko ndani utakuta jamaa wamejaa sana ni wengi sana. Hata siasa ya nchi yetu kwa kiasi kikubwa ukitoa mchaga bas huamuliwa na mnyakyusa, na watatu ni mhaya. Wahaya sio wazuri katika kugombea gombea kwa kura, lkn shauli ya elimu yao ktk uongozi wapo sana sana sana... Na wataendelea kuwepo sana.

Miaka ya hivi karibun wasukuma walipewa nafas sana chin ya chuma lkn bado wametolewa sana nje ya mfumo na bi mkubwa.

Lkn kwa ujumla mafanikio ya jamii moja kuzidiwa na nyingine sio shauli ya ukabila ila mazingira ndio huamua zaidi mafanikio ya jamii hizo,

Mfano wahaya, wachaga na wanyakyusa wameendelea sana kwasababu za kihistoria na kijografia, wakoloni kukaa kwao na kuwahi kuoata elimu.

Biashara kwa makabila hayo hutofautiana pia kuringana na jiografia, na hulka za kihistoria, shauli ya ugumu wa maisha wa wachaga kwao huko ndio ukapelekea waondoke huko kwao na kwenda kutafuta kwingine huko hawakuwa na ardhi hivyo wakawa wafanyabiashara kwasbabu ndio kitu pekee wangeweza fanya, walifanikiwa ktk hilo na kukua sana kwasbb walikua hawana majukum familia ziko mbali moshi yeye yupo kigoma hata simu hakuna hivyo alifanya biashara yeye mwenyew na mpk alipofanikiwa na kurudi kwao.

Mkinga anafanya vizuri kwasasa kwasababu nao walikimbia makwao kama wachaga kwao kulikua na njaa sana ni kugumu mno, hivyo wengi walikimbilia chunya, iringa, mbeya makambako na maeneo ya jirani kwenda kusaka maisha sababu za kutokua na majukum walifanikiwa sana ndio haya tuyaonayo leo.

NB. Kuna sifa zingine ni za kawaida mfano kuogopwa kwa jamii moja ni kutokana na hulka za jamii hiyo kiutawala.

Mnyakyusa, mchaga na mhaya huogopwa sana ktika ndoa kwasababu za hulka zao.

Huwez kuoa mnyakyusa arafu ukataka kumtawala huwez kabisa, hilo libapelekea watu kuwaogopa sana, huko nyanda za juu kusini wakinga wabena wahehe wafipa wanyiha waandali na wasafwa humuogopa sana mnyakyusa maana yeye ni mtawala wao ni ngumu kumuweka chini, pia mchaga huogopwa na mmasai, muarusha, muarumeru, muiraq, mmbulu, mfyonji na mmang'ati kwasababu ya utawala ni mtawala na jeuri sana. Hata muhaya pia huogopwa sana na jamii zote za huko kanda ya ziwa hata msukuma humuogopa sana mhaya wakimuona haereweki kwasababu ya utawala. Sumu ya kuogopwa imeenea nchi nzima kwa makabila hayo ma3. Lkn katika hayo ma3 lipi huhofiwa na mwingine. Kiukweli mchaga na mnyakyusa huogopana zaid. Na ni rahisi mnyakyusa kuenda moshi au arusha kuweka utawala wake bila kuwaza mara mbili kulinganisha na mchaga kwenda mbeya au songwe kuweka utawala ni ngumu kidg.

Kwa ujumla.
1. Mchaga
2. Mnyakyusa
3. Mhaya
4. Msukuma
5. Mkinga.
 
Kama kuna uzi wa ajabu ni huu. Ni lini msukuma akamwogopa mhaya ? Wasukuma wamejaa vijiji vya Muleba, Karagwe na kufanya makazi yao. Leo unasema mhaya anaogopwa na msukuma ? Hauko serious kabisa.
 
Kama kuna uzi wa ajabu ni huu. Ni lini msukuma akamwogopa mhaya ? Wasukuma wamejaa vijiji vya Muleba, Karagwe na kufanya makazi yao. Leo unasema mhaya anaogopwa na msukuma ? Hauko serious kabisa.
Kujaa watu sehemu fulani ni jambo la kawaida sana as long as nchi yetu n huru sn. Hata wafyonji wamejaa sn arusha na Kilimanjaro hiyo haina maana kuwa hawawaogopi wachaga, wasukuma ni kweli wamejaa muleba kalagwe na maeneo ya wahaya lkn haina maana kuwa hawawaogopi, hata wasafwa ni wengi tu maeneo ya kiwira, isyonje na maeneo hayo lkn haina maana kuwa hawawaogopi wanyakyusa.

Kuogopwa sio kwa kuwakimbia hapana, wanawaogopa kwa misingi ya kuwa familia moja, yan msukuma kumuoa muhaya. Ni heri muhaya akimuoa msukuma kidg hiyo n fresh sana lkn sio vice versa.

Wasukuma wananguvu na ushawishi katk nchi yetu, je kwaww unahisi ushawishi na nafas ya muhaya nchini ni ndogo ukiringanisha na msukuma kweli...????
 
Uzi mrefu halafu ni porojo na pumba tupu. Cheki utumbo ulioandika hapa bila kua na taarifa sahihi.
Sio kama makabila mengine ambayo wao wameji-limit kwa jambo fulani au mambo mawili tu. Mfano, Wanyakyusaa, wao ni mashuhuri kwa nyimbo za injili, makanisa ya upako, kilimo cha Mpunga na elimu. Mambo matatu
Wanyakyusa wanaolima mpunga ni wa ilaya kama 2 tu.

Yaani hizi propaganda za makabila nadhani zilikua miaka hiyo mkuu, siku hizi muingiliano wa watu ni mkubwa mno.
Mada kama hizi wanaoandika wengi ni watu wazima sana waliokataa mabadiliko ya kifikra
 
Umeeleza vizuri ila kuhusu umasikini kila jamii ina masikini,ila kuhusu funza jaribu kufanya research upya....mnyakyusa ni jeuri tu ila ni masikini wakubwa kubali ukatae
 
Umeeleza vizuri ila kuhusu umasikini kila jamii ina masikini,ila kuhusu funza jaribu kufanya research upya....mnyakyusa ni jeuri tu ila ni masikini wakubwa kubali ukatae
Kweli kbsa kila jamii ina masikini, lkn kuna ile wastani wa umasikin. Ni rahisi kukuta familia masikini mbeya huko tukuyu au kyela, lkn wanakula milo mi3 heavy kwa siku. Wanasomesha watoto shule za private nzuri tu za hata 1M. Lkn ndio familia masikini.

Kuhusu funza hilo sijaambiwa nimeliona kwa macho yangu mwaka 2020 hapo wala sio miaka mingi sana. Nimeenda huko Kilimanjaro ndani ndani huko.

Hata hivyo haina maana kuwa uwepo wa funza ndio umasikin lkn ni ishara ya umasikin wa jamii hiyo.
 
Mleta mada acha kuwachukila poa Wapemba, Hao watu ni moto wa kuotea mbali.
 
Mkuu punguza uongo,kuhusu milo 3 heavy hapo sawa anaweza kula ndizi choma kwa parachichi na maziwa.
Huenda wewe ni mnyaki na unajitahidi kuficha yaliyo kwenu ila haibadilishi kitu kuwa nyinyi ni masikini kuliko wachaga.
Kuhusu funza Fanya research vizuri kwanini kule kuna funza na mbeya au mikoa mingine hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…