Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Mumpongeze sasaHuyu mkewe si ni member humu.
hahaha,ngoja walioa oa wake watupatie uzoefu zaidiKabla ya kuoa hakikisha ushapiga show nyingi sana maana maisha ndani ya ndoa ni sawa na kujiteka mwenyewe
Hahahahhahaa!..we jamaa umenivunja mbavu zanguKabla ya kuoa hakikisha ushapiga show nyingi sana maana maisha ndani ya ndoa ni sawa na kujiteka mwenyewe
Hongera mke Sugu.Mumpongeze sasa
Ngoja niangalie kwenye cheti mkuu20 or 30?
Stay single as long as you can!hahaha,ngoja walioa oa wake watupatie uzoefu zaidi
kama sugu motochini ameoa akiwa na 45. Mimi ni nani hadi nioe kabla ya kufika 20.
SureKabla ya kuoa hakikisha ushapiga show nyingi sana maana maisha ndani ya ndoa ni sawa na kujiteka mwenyewe