Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Magangsters wengi huwa hatupendi show off sijui kumkiss demu wako hadharani, sherehe kama harusi na birthdays, kulishana keki, kumpigia mwanamke magoti, kucheza mziki na mwanamke hadharani, mzee mzima Sugu kaoa by the way I am a real gangsta, nikifika miaka 45 na mimi nitaoa