Kuwait yashikilia watu 67 kwa utengenezaji wa pombe haramu baada ya kusababisha vifo 23

Kuwait yashikilia watu 67 kwa utengenezaji wa pombe haramu baada ya kusababisha vifo 23

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mamlaka ya Kuwait imetoa taarifa kushika watu 67, akiwemo raia wa Bangladesh anayesemekana kuongoza mtandao wa uhalifu, kutengeneza na kusambaza vinywaji vya pombe vya kienyeji vilivyosababisha vifo vya watu 23 katika siku za hivi karibuni

Taarifa iliyotolewa kwenye Mtandao wa X Agosti 16 2025 usiku ilibainisha kuwa wizara imezuilia viwanda 6 na vingine 4 ambavyo bado havijaanza kufanya kazi, vyote vikiwa katika maeneo ya makazi na viwanda, vilivyotumika kutengeneza vinywaji vyenye sumu ya methanol.

Wizara ya Afya imesema kuwa kesi za sumu ya methanol zinazohusiana na vinywaji hivi imefikia 160, huku 23 wakiwa wamepoteza maisha na watu 51 walihitaji tiba ya haraka ya figo, na wengine 31 walihitaji mashine za kupumua


====

Kuwaiti authorities have arrested 67 people accused of producing and distributing locally made alcoholic drinks that killed 23 people in recent days, including a Bangladeshi national said to head the criminal network, the Interior Ministry has said.

In a statement on X late on Saturday, the ministry said it seized six factories and another four that were not yet operational in residential and industrial areas

A Nepali member of the criminal group told authorities how the methanol was prepared and sold.

Kuwait, a Muslim nation, bans the import or domestic production of alcoholic beverages, but some are manufactured illegally in secret locations that lack oversight or safety standards, exposing consumers to the risk of poisoning.

The arrests come after the Ministry of Health said on Thursday that cases of methanol poisoning linked to the tainted drinks had reached 160, with 23 deaths, mostly among Asian nationals.

At least 51 people required urgent kidney dialysis while 31 needed mechanical ventilation, the ministry said.

The Embassy of India in Kuwait, which has the largest expatriate community in the country, said around 40 Indian nationals in Kuwait were hospitalised in the last few days, without specifying the cause.

“There have been some fatalities, some are in a critical condition while others are recovering,” it said in a statement on X.

Methanol, a toxic colourless alcohol used in industrial and household products, is hard to detect. Symptoms of poisoning are typically delayed and include nausea, vomiting, abdominal pain, hyperventilation and breathing problems.

It is reported that thousands of people suffer from methanol poisoning every year, especially in Asia. If not treated, fatality rates are often reported to be 20 percent to 40 percent, according to the medical charity Doctors Without Borders (MSF)

Source: ALJAZEERA
 

Attachments

  • 1755505411189.png
    1755505411189.png
    147.3 KB · Views: 46
Mpishi mbishi........
Njonjo za mpishi naona ilikuwa wawe machizi jumla hongera kwa Mamlaka.
 
Ndio ujue Serikali zinalazimisha watu wasitoke kwenye uislam wakati uislam ni ku waste of time and energy. Dini gani Allah keshakuandalia kila ufanyalo na keshakuchagulia mwisho wako either wa Motoni au Peponi.
 
Back
Top Bottom