Serikali ya Kenya imetangaza hatua kali zaidi dhidi ya biashara ya pombe haramu, ikitaja tatizo hilo kuwa miongoni mwa vitisho vikubwa kwa mustakabali wa nchi. Naibu Rais Professor Kithure Kindiki amesema Serikali imeanzisha sekretarieti ya kudumu Harambee House Annex ili kuratibu operesheni za...
Polisi wamenasa tanker iliyokuwa ikisafirisha takribani lita 10,000 za ethanol inayoshukiwa kuwa ya viwandani katika eneo la Lari, kaunti ya Kiambu, kwenye Barabara Kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru. Watu 3 waliokuwa ndani ya tanker hiyo wamekamatwa na wanasaidia uchunguzi.
Kilichozua maswali...
Makwa, Gatundu North, Kaunti ya Kiambu, imeingia tena kwenye mjadala wa pombe haramu baada ya mwanaume mmoja kuripotiwa kufariki baada ya kunywa pombe inayoshukiwa kuwa mbaya.
Lakini safari hii, si taarifa ya vifo pekee inayovuta hisia. Ni video ya kina mama wakilia kwa uchungu baada ya taarifa...
Watu 12 wamekamatwa Ruiru, Kaunti ya Kiambu, katika msako wa pamoja wa maafisa wa usalama dhidi ya pombe haramu, bidhaa za pombe zinazodaiwa kuwa bandia na dawa za kulevya.
Maafisa walinasa lita 211 za pombe ya kienyeji aina ya muratina, bidhaa mbalimbali za pombe zinazodaiwa kuwa bandia na...
Watu 3 wamefariki na wengine 2 wako katika hali mbaya baada ya kile kinachosadikiwa ni kunywa pombe haramu huko Kimende, eneo-bunge la Lari, Kaunti ya Kiambu.
Kufuatia vifo hivyo, wakazi wa Kimende walifanya maandamano wakitaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya uzalishaji na uuzaji wa pombe...
Ofisi ya Upelelezi wa Rwanda (RIB) imewakamata Prof. Emile Bienvenu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Rwanda (Rwanda FDA), pamoja na watu wengine 17 katika uchunguzi unaohusu uzalishaji na usambazaji wa vileo vinavyodaiwa kutokidhi viwango.
Kati ya watu 18 waliokamatwa, 10...
Mamlaka ya Kuwait imetoa taarifa kushika watu 67, akiwemo raia wa Bangladesh anayesemekana kuongoza mtandao wa uhalifu, kutengeneza na kusambaza vinywaji vya pombe vya kienyeji vilivyosababisha vifo vya watu 23 katika siku za hivi karibuni
Taarifa iliyotolewa kwenye Mtandao wa X Agosti 16 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.