Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Ofisi ya Upelelezi wa Rwanda (RIB) imewakamata Prof. Emile Bienvenu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Rwanda (Rwanda FDA), pamoja na watu wengine 17 katika uchunguzi unaohusu uzalishaji na usambazaji wa vileo vinavyodaiwa kutokidhi viwango.
Kati ya watu 18 waliokamatwa, 10 ni wafanyakazi wa Rwanda FDA, huku wengine wakitoka Rwanda Standards Board (RSB) na serikali za mitaa.
Kwa mujibu wa RIB, Prof. Bienvenu anachunguzwa kwa madai ya kutoa leseni ya uendeshaji wa biashara ya chakula na vinywaji bila kufuata kikamilifu uamuzi wa kamati ya kitaalamu ya Rwanda FDA.
Soma pia
Mytake: Wakati aina 14 ya vinywaji hivyo vinatoka Tanzania, lakini huku kwetu hakuna aliyefikishwa kwenye vyombo vya sheria. Tunasubiri nini?

- Baadhi ya pombe zinazozalishwa Tanzania zapigwa marufuku kuuzwa Rwanda
- Marufuku ya Pombe zisizo na Ubora Rwanda: TBS imelala wakati Watanzania wanaweza kuwa wanapata
- TBS: Tumewasilisha taarifa Sekretari EAC kuiomba Rwanda kutoa sababu za Kuzuia Vinywaji vya Tanzania