Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Atafute kwanza tiba ya gesi aendelee au abadilishe biaYeah kuna watu bia inawaletea hiyo shida na wanaendesha mno
sema Serengeti lite unaweza kata kreti msee 𤣠ni laini kama bigijii
Atafute kwanza tiba ya gesi aendelee au abadilishe biaYeah kuna watu bia inawaletea hiyo shida na wanaendesha mno
Yawezekana bidhaa official za TDL, Serengeti na K-Vant zaweza kuwa zimetengenezwa na viwanda haramu kwa kuigiza na kupeleka Rwanda.
Na hili ni suala mtambuka siyo suala la Serikali na vyombo vyake pekee. Hivi viwanda vinavyotengeneza fake konyagi viko mitaani mwetu. Tunaishi naoHabari Njema Kabisa, hata sisi Tanzania hatujachelewa tunaweza kuchukua hatua kuhusu hizi sumu zinazotengenezwa viwandani.
Hakuna mtambuka wala nini .....unataka kutuaminisha kwamba hawajulikani?...Na hili ni suala mtambuka siyo suala la Serikali na vyombo vyake pekee. Hivi viwanda vinavyotengeneza fake konyagi viko mitaani mwetu. Tunaishi nao
Wajanja wamewahi kutengeneza hadi maji feki ya Kilimanjaro. Wanatembea na fursaTanganyika kwa mvinyo feki ni kiboko. Juzi kati hapo nipo katikati ya JIJI nimekuta kuna jamaa ananunua machupa ya K-VANT yalio tumika bila uoga.
Kazi ni kipimo cha utu
Hatujawahi kuwa serious
š¤£š¤£ hawa wazee hata zile jbl earbuds za buku 5 pale kkoo watakuambia zina ubora,maskini nchi yangu inaangamia kwa kukosa maarifa,dr janabi kila siku anaongea kuhusu ongezeko la ugonjwa wa figo,yan walipata pa kuanzia kuzuia tatizo lakini ndio kwanza wanatoa go ahead maharamia wazidi kufyatua ernegy drink na pombe zilizo chini ya viwango!
Hahaha kumbeAtafute kwanza tiba ya gesi aendelee au abadilishe bia
sema Serengeti lite unaweza kata kreti msee 𤣠ni laini kama bigijii
Bwashee kwa siku za jumapili nshakula machalari mapema, siku hiyo nikapita sehemu hamna safari zipo lite eeeh bhn kumi ziliisha nikasema kesho jtatu niondke zile ukihama kiwanja na upepo wa bodaboda mbn chapu tuuHahaha kumbe
Hahaha , mimi nakula makali siku hizi Bwashee, bia nimesitisha kwanzaBwashee kwa siku za jumapili nshakula machalari mapema, siku hiyo nikapita sehemu hamna safari zipo lite eeeh bhn kumi ziliisha nikasema kesho jtatu niondke zile ukihama kiwanja na upepo wa bodaboda mbn chapu tuu
Makali nayaogopa maake nahitaji zaidi cocktail na yenyewe iwe na chombeza sjui barafu, soda na barafuHahaha , mimi nakula makali siku hizi Bwashee, bia nimesitisha kwanza
Aaaah cocktail hauogopi sukari bwashee? Hata bia nazinywa kwa machale tena zile ambazo hazina sukariMakali nayaogopa maake nahitaji zaidi cocktail na yenyewe iwe na chombeza sjui barafu, soda na barafu
Nipe formula hapo beer ipi nzuri hzi localAaaah cocktail hauogopi sukari bwashee? Hata bia nazinywa kwa machale tena zile ambazo hazina sukari
Kwenye wanaandika kabisa ,zipo ambazo hata kwa wagongwa wasukari wanakunywa tu kama Serengeti lagerNipe formula hapo beer ipi nzuri hzi local
Me mzee wa safari lager bwasheeKwenye wanaandika kabisa ,zipo ambazo hata kwa wagongwa wasukari wanakunywa tu kama Serengeti lager
Zina sukari kibao hizo sipo poa kiafya, kama utapiga mingiMe mzee wa safari lager bwashee