Kuwaita wafadhili wetu “mabeberu”, kabla hatujaweza kujitegemea, ni ushamba unaoweza kuliangamiza Taifa tusipokuwa makini!

Kuwaita wafadhili wetu “mabeberu”, kabla hatujaweza kujitegemea, ni ushamba unaoweza kuliangamiza Taifa tusipokuwa makini!

Wewe ndo wale wanaume waoga bada ya kuoa unaita mkeo mama yangu sbb huna uhakika kama una uwezo wa kumtia mimba ktk ndoa.

Tunaita mabeberu kwa kuwa ni mabeberu kweli. Hatuwezi waita mbuzi wenye ndevu.
 
Unapoteza utu wako Kwa sababu ya fedha? Wakati unao uwezo wa kujenga uzalendo ukapata fedha tu Kama kila mtazania ataelewa umuhimu wa Uzalendo
Nani amepoteza utu wake kwasababu ya fedha? Hivi una akili wewe? Uzalendo maana yake ni kitu gani? Inawezekana umechotwa akili. Bure kabisa.
 
Wewe ndo wale wanaume waoga bada ya kuoa unaita mkeo mama yangu sbb huna uhakika kama una uwezo wa kumtia mimba ktk ndoa.

Tunaita mabeberu kwa kuwa ni mabeberu kweli. Hatuwezi waita mbuzi wenye ndevu.
Huna akili hata kidogo. And I mean it.
 
Kumbuka hii kauli neno uzalendo imeibuka sana hii miaka ya karibuni yaani kama hili taiga lina raia wa aina mbili tuseme waliowazalendo na wasiwazalendo.
Hizi zote ni kauli za kuwagawa watu kwa ujanja wa watu wenye malengo yao kwa faida yao kwa kipindi flani.
Kama taifa lina watu wa aina mbili ni kipimo kipi kinatumika kujua ni idadi ipi inayozidi kuongezeka kama kati ya kundi moja linazidi kuongezeka faida ni ipi kama halina faida tumejiandaje kuangalia wanachokitaka.
Inawezekana wengi wao wanahitaji kusogezewa huduma za kijamii kama ndio hivyo hatuwezi kuyakwepa haya kwani ni haki ya raia.Kujua tatizo la jambo litatusaidia sana sio kejeli wala vijembe maneno mazuri ni dawa juu raia mwenzako
Hilo neno linatumika kama propaganda kuendelea kupata sapoti za nyumbu wasiojitambuwa. Yani #BureKabisa
 
Wanajamvi,

kuwaita wafadhili wako na wahisani “mabeberu”, na kuitumia hiyo kauli mbiu kwenye siasa, ni sawa na kuwalisha chuki wananchi dhidi ya wafadhili, kwa maslahi ya kisiasa ya binafsi na chama. Huu ni ushamba mkubwa na wa hatari kabisa kwa maslahi ya Taifa la Tanzania.

Ningeunga mkono jitihada hizo za kumtukana mamba, endapo ningeona kuwa tumeshauvuka mto!

Hili ni ushamba kwasababu ni la kujitakia tu. Sawasawa kabisa na kujipiga risasi ya mguu mwenye huku ukichekelea! Sasa kama kura zote ziliibiwa kiasi hicho, na hili wahusika walilifahamu hata kabla ya kampeni kuanza, kulikuwa na sababu gani sasa za kuweka uadui dhidi ya wafadhili na wahisani kwa kuwaita mabeberu wenye nia mbaya na maendeleo ya Taifa letu? Tena hata wakati wa kuwazungumzia wagombea wengine

Matokeo yoyote yamabaya kwa Taifa letu, yatakuwa yamesababishwa na genge la uhalifu na kigaidi linalojificha chini ya mwavuli wa chama cha siasa!

Sioni jambo lolote kubwa ambalo limebadilika kutoka tawala za ccm zilizopita, zaidi ya jitihada za kuzima sauti mbadala na zenye kufichuwa ufisadi. Hivyo genge hilo, linatumia propaganda ya mabeberu, na kuligawa Taifa kwa tamaa zao!

Uzalendo kwa Taifa, ni kuiondoa na kuikataa CCM kwa nguvu zetu zote. Hapo ndipo Taifa litapona, siyo kinyume chake.

Sasa tunaona hata tatizo la ugaidi ambapo CCM hawana njia ya kukwepa lawama.

Sehemu ambazo ugaidi hukuwa, maisha ya wananchi wa maeneo hayo na haswa vijana huwa magumu sana, na hivyo kuwa rahisi kuingia kwenye ugaidi.

Hili suala na sehemu nyingi tu Tanzania, lingeweza kumalizwa na muundo mpya wa serikali. Hapa ya majimbo ingefaa zaidi.

Kwasababu wananchi huwa wanajiskia hiruna kunufaika na rasilimali zinazowazunguka, na hivyo kuwaletea maendeleo yanayoleta unafuu kwenye maisha yao ya kila siku.

Lakini ccm wamezoea kukusanya tu mapato na kufanya ufisadi bila kuwajali wananchi. Kwingine inawalazimisha wananchi wawe na itikadi ya ccm ndipo wapelekewe maendeleo. Je ina maana hayo maeneo haya kuwepo wakati wa chama kimoja?

Sasa ukizingatia kuwa tunaweza kuwekewa vikwazo, kwasababu ya yaliyotokea kwenye uchaguzi mkuu, pamoja na jitihada za kuminya demokrasia, watakaoendelea kuteseka bila sababu ni wananchi ambao wengi ni masikini.

Kwa kujitegemea ni stahili hipi.
Nchi nyingi zinazotaka kuvuka malengo zinapata misukosuko na hao wanaosema bado.
 
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada hupiga magoti kuwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
 
Kwa kujitegemea ni stahili hipi.
Nchi nyingi zinazotaka kuvuka malengo zinapata misukosuko na hao wanaosema bado.
Hata kama ingekuwa ni kweli, bado huelewi! Na hata jambazi akikuvamia, na huku akijiamini kuwa hamfahamu, kisha ukaanza kusema unamfahamu, atakuacha? Sasa ukifa siyo ushamba? Acheni propaganda za kisemgerema mkaharibu Taifa.
 
Hatoweza kujibu hilo, kwasababu wanafahamu ni uongo wanaowalisha wananchi! Lakini wananchi walikataa, sema nguvu imetumika na wizi mkubwa wa kihistoria!

Hilo la mabeberu, wanalitumia ili waweze kutumia dola na nguvu ya jeshi pamoja na usalama wa Taifa! Njia pekee ya ccm kubakia madarakani!
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila jwtzccm ni weupe sana
 
Wameshindwa kuwahudumia wananchi. Wameshindwa kuwaondoa kwenye umasikini wa kutupwa. Wanawadanganya kuwa umasikini wao umesababishwa na mabeberu wanaoshirikiana na upinzani. Wako radhi kubakia madarakani na kuwatumia wananchi kwa manufaa yao binafsi huku wakitetea chama ambacho kipo madarakani tokea uhuru.
Hakuna maendeleo Tanzania licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani pesa za viwanda za walipa kodi zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi uonevu unyanyasaji uovu mateso manyanyaso kwa wapinzani badala ya maendeleo
 
Hata kama ingekuwa ni kweli, bado huelewi! Na hata jambazi akikuvamia, na huku akijiamini kuwa hamfahamu, kisha ukaanza kusema unamfahamu, atakuacha? Sasa ukifa siyo ushamba? Acheni propaganda za kisemgerema mkaharibu Taifa.

Ueleweki
Unataka ujitegemee kwa stahili hipi.
Sababu zilizopo si kwa kuwa ni wafadhiri kutaka kufanya kama sehemu ya shamba lao.

Nipe jibu unataka hao mabeberu waseme sasa tunaweza jitegemea ni hizi
 
Na ni mbuzi jike kweli!😂
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani,Pesa zote zinapotelea kwenye mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa kama walivyofanya sasa kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Baada ya kichapo cha mbwa mtu kwenye box la kura naona unaibuka na nyuzi za kitoto. Unajua nini maana ya Beberu? Unadhani kila mfadhili ni Beberu. Unafahamu dhana nzima ya Imperialism? Tumia akili zako unapofanya ukosoaji wa kiuchambuzi.
Kichapo kipi hicho? Uchaguzi upi huo? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika Tanzania zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Tatizo ccm mumejusahau na kulifanya Taifa la Tanzania kama kichwa cha mwendawazimu. Kila mwenyekiti wenu mpya anakuja kujifunzia kunyoa hapo toka uhuru. Sijui kama hata wewe mwenyewe unaelewa ulichokiandika.

Wapi nimesema maendeleo yatakuja kwa ufadhili? Toka uhuru hadi kufikia 2015 ndiyo mumefahamu?
Sasa CCM yote hawatumii Akili zao kufanya kazi wameazima kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM tu
 
USAID help us ARV(antiretrovirus drugs) for free of charge....

Kule kwao KICHUPA kimoja cha Vidonge 100 ni dola 300....imagine?!!!

Can we afford to produce it?!!
Can we afford to distribute to our CITIZENS for free?!!!!

How about drugs against Tuberculosis(TB)?!!!

Though am not supporting each and everything they do against third world countries but through globalization they are the most dearest FRIENDS than CHINESE...look at MKAPA FOUNDATION on health....

Look on what they help us fighting against Porchers in our game reserves?!!!
Can Chinese support us the same as US and our European counterpart does....?!!!!

1.DANIDA
2.SIDA
3.GTZ
4.USAID
5.NORPLAN
6.FINLAND
7.JICA
8.KOREA et al

Though we stand as NATIONALISTS but we should RESERVE our words against these DEVELOPMENT PARTNERS and not what honourable Gwajima SAID today....
We are busy picking a fight that we all know, we can't win.
 
Mtanzania gani angechagua mbunge wa Chadema?
Watanzania wapiga kura wote wenye Akili timamu waliichagua chadema lakini Polisiccm NECCCM Tumeccm na wakurugenziccm wakaisimika CCM ikulu kienyeji pasipo idhini ya wapiga kura kwa njia haramu za kishetani
 
Ueleweki
Unataka ujitegemee kwa stahili hipi.
Sababu zilizopo si kwa kuwa ni wafadhiri kutaka kufanya kama sehemu ya shamba lao.

Nipe jibu unataka hao mabeberu waseme sasa tunaweza jitegemea ni hizi
Kama tokea uhuru mumeshindwa kuondoa huo umasikini na ujinga, unataka kusema hilo halipo chini ya uwezo wenu siyo?
 
Nani amepoteza utu wake kwasababu ya fedha? Hivi una akili wewe? Uzalendo maana yake ni kitu gani? Inawezekana umechotwa akili. Bure kabisa.
Uzalendo wa CCM ya sasa ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani kutafuna pesa za corona na kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu huo ndiyo Uzalendo wa CCM ya sasa
 
Back
Top Bottom