Wananchi wanapokuwa na jambo lao katiba inawaruhusu kuandamana au kukusanyika kuliongelea.
Kwenye hili, polisi ni mawakala wa wanaolalamikiwa. Mlalamikiwa au wakala wake wanaupata wapi uhalali wa kujaribu kumnyamazisha mlalamikaji wao kwa maguvu ya msuli wa mwili, vitisho au hata mtutu wa bunduki?
Kwenu polisi ni kupewa taarifa tu. Mnadhani katiba ilikosewa kuwapa ninyi mipaka ya wazi hivyo kuhusiana na wananchi wenye jambo lao?
Kwamba mmefikia kujiapiza kuvunja watu miguu au hata kuwaua? Ama kweli huku ni kuvuka mipaka kuliko pitiliza mno, kunakofuzu kuitwa ushweitwani kazini.
Kwamba mmekuwa mkizisumbua hadi familia zao? Hivyo sasa mnadhani hatujui nia yenu ni kuwakamata wawili hawa kwa sababu zozote, ili 9/11 wasiwepo medani za Tahrir? Hilo tunalijua na tuko kamili gado!
Ila kaeni mkijua:
9/11 tupo Tahrir "with or without Mwabukubusi, Mdude, Slaa au awaye yote."
Mmetuchosha na tabia zenu za usiginaji wenu wa katiba wa wazi. Wavunja katiba dhidi ya walinda katiba tukutane Tahrir.
Hatutabeba jiwe, rungu wala sindano, bali damu na roho zetu.
Mkitaka kita umana!