Kuwakamata Mwabukusi au Mdude hakutasimamisha maandamano 9/11

Kuwakamata Mwabukusi au Mdude hakutasimamisha maandamano 9/11

Tunahitaji kujenga utamaduni wa demokrasia ambao hauumizi raia.
Kama wakiruhusiwa kuandamana, wakatoa hisia zao, tena wakapokelewa na viongozi wa serikali kutakuwa na shida gani? Maoni au hoja zao zinachukuliwa, zenye manufaa zinaingizwa kwenye mipango ya kitaifa baadaye.
Wakati mwingine rasilimali za uma hutumiwa kutunishiana misuli kwa sababu ya ujinga na kiburi cha watumishi wa uma/serikali tu.
 
Aione OCD Magonjwa Mtambuka
 
Ndio, sasa utafanya nini?

F90vli0XkAAiik6.jpeg
 
Wewe unapenda yafanyike ukiwa umejificha wapi? Hata shati au t-shirt nyeupe nayo mgogoro?

Polisi wadada, trafiki, manesi, wanafunzi hadi darasa 1 kayumba huko watakuwa rasmi kabisa.

Wewe je?
Himiza na matokeo ya maandamano
 
Wananchi wanapokuwa na jambo lao katiba inawaruhusu kuandamana au kukusanyika kuliongelea.

Kwenye hili, polisi ni mawakala wa wanaolalamikiwa. Mlalamikiwa au wakala wake wanaupata wapi uhalali wa kujaribu kumnyamazisha mlalamikaji wao kwa maguvu ya msuli wa mwili, vitisho au hata mtutu wa bunduki?

Kwenu polisi ni kupewa taarifa tu. Mnadhani katiba ilikosewa kuwapa ninyi mipaka ya wazi hivyo kuhusiana na wananchi wenye jambo lao?

Kwamba mmefikia kujiapiza kuvunja watu miguu au hata kuwaua? Ama kweli huku ni kuvuka mipaka kuliko pitiliza mno, kunakofuzu kuitwa ushweitwani kazini.

Kwamba mmekuwa mkizisumbua hadi familia zao? Hivyo sasa mnadhani hatujui nia yenu ni kuwakamata wawili hawa kwa sababu zozote, ili 9/11 wasiwepo medani za Tahrir? Hilo tunalijua na tuko kamili gado!

Ila kaeni mkijua:

9/11 tupo Tahrir "with or without Mwabukubusi, Mdude, Slaa au awaye yote."

Mmetuchosha na tabia zenu za usiginaji wenu wa katiba wa wazi. Wavunja katiba dhidi ya walinda katiba tukutane Tahrir.

Hatutabeba jiwe, rungu wala sindano, bali damu na roho zetu.

Mkitaka kita umana!
Mmekosa kazi za kufanya ngoja wawavunje tu
 
Binafsi natoa wito kwa Jeshi la Polisi kuthibiti maandamano haya haramu, kuchukua hatua kali kwelikweli kwa wakaidi wote watakaoshiriki ujambazi huu wa kuharibu amani na utulivu, kupora mali katika vibanda na maduka ya watu na kwa kwakutokutii sheria bila shuruti wakabiliwe na wawajibishwe vilivyo ili iwe fundisho kwao na kwa familia zao.....

huwezi kudhulumu mali na fedha za watu kwa kupora vibanda na maduka watu kisha unaenda kudai haki serikalini...
hili haliwezekani,
Hata wewe udhibitiwe na haohao polisi usiwe unaenda kunya ili tuone utakuwaje kimuonekano
 
Back
Top Bottom