- Thread starter
- #61
Tikisa mzinga wa nyuki ule asali
Hatutikisi tu bali tunafuata nyuki kula asali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tikisa mzinga wa nyuki ule asali
Himiza na matokeo ya maandamano
Yaani umebaki kuweka mapicha picha tu. Nenda kwenye maandamano ya Mdue na wewe ukawe mdudu😁
Ni mtu hatari snAnasahau ndiyo iliyomuweka na kumpa uhalali kuwa hapo alipo
Hebu ninukuu wapi nilisema hivyo, acha upuuzi wa kunilisha maneno. Huoni aibu kubwatuka hovyo bila ushahidi?😁Si mlizowea kusema watanzania waoga?....
Ni mtu hatari sn
Wanamuweka sawa iliwaendelee kupiga pesa za umma.Madaraka hulevya mjinga akadhani sifa sifa anazipata tokea kwa chawa ni zake na za kweli
Tumekuwa na aina ya viongozi wabinafsi hawajali kitu kabisa.Tulizana tuna kikao muhimu hapa:
View attachment 2807342
Cc: imhotep, Elli, FaizaFoxy, Pascal Mayalla na waungwana wote.
nasisitiza tena,Hata wewe udhibitiwe na haohao polisi usiwe unaenda kunya ili tuone utakuwaje kimuonekano
Usikute bibi yako naye kapanga kuwaunga mkono kina mdudenasisitiza tena,
Jeshi la polisi kuwashughulikia wanaamanaji haramu kwa weledi mkubwa wa umbwa koko ili iwe fundisho kwao na kwa familia zao.....
na ashugulikiwe vizuri sana ili akaone huduma za afya zilizoboreshwa sana hospitalini na Dr.SSH na ndio aache upotoshaji wa kijinga....Usikute bibi yako naye kapanga kuwaunga mkono kina mdude
na ashugulikiwe vizuri sana ili akaone huduma za afya zilizoboreshwa sana hospitalini na Dr.SSH na ndio aache upotoshaji wa kijinga....
Miafrika ujinga mtaacha lini jisifie kwa kulipa kodi inayoyafanya hayo sio kulisifu jitu bila wewe kutoa kodi angeyfanya hayo Mr rotten brainna ashugulikiwe vizuri sana ili akaone huduma za afya zilizoboreshwa sana hospitalini na Dr.SSH na ndio aache upotoshaji wa kijinga....
ile miafrica ikiongizwa na wasakatonge wateteze wa wanyonge pamoja na huyu mjaamaa wa kuandamana nyuma ya keyboard, Kesho waachwee kidogo wajaejae barabara waanze na kuimba nyimbo zao na kuanza kupora vibanda na maduka ya watu......Miafrika ujinga mtaacha lini jisifie kwa kulipa kodi inayoyafanya hayo sio kulisifu jitu bila wewe kutoa kodi angeyfanya hayo Mr rotten brain
Hebu ninukuu wapi nilisema hivyo, acha upuuzi wa kunilisha maneno. Huoni aibu kubwatuka hovyo bila ushahidi?😁
Tumekuwa na aina ya viongozi wabinafsi hawajali kitu kabisa.
Sasa wanauza hata uhuru wetu.
Ila wakae wakijua watanganyika hawajalala. Kinachosubiriwa ni upenyo tu. Mijadala ni mikali sana huku uraiani.
Wafuasi wa Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile aliyeonewa kwa kufungwa zaidi ya Miaka 3 ati kwa kuhubiri bila kibali wajitokeze kwenye Maandamano hayo ya AMANI.
View: https://youtu.be/MVOm4KOS8V8?si=PU-2d5yPyq8D5hUz
Wanamuweka sawa iliwaendelee kupiga pesa za umma.
MNATAKA KUINGIZA NA UDINI NDIYO MAANA TUNAITA MAANDAMANO HARAMU
WAJUWA WALA HAINA HAJA YA KUHANGAIKA MANGE KAANZISHA WALIJUWA WATU WATAENDA KWELI HAKUENDA HATA MMOJAHahaha unakumbuka ya mange??