Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Mm napenda yafanyike lakini hao waandqmanaji sasaa ndo siwaoniHuyo akifanya na hawa wanaoyaogopa haya ya Mbeya? Kwani hao wa Mange wako huku pia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm napenda yafanyike lakini hao waandqmanaji sasaa ndo siwaoniHuyo akifanya na hawa wanaoyaogopa haya ya Mbeya? Kwani hao wa Mange wako huku pia?
Mm napenda yafanyike lakini hao waandqmanaji sasaa ndo siwaoni
Maza anadharau Katiba na Sheria sababu yuko juu ya hizo
Umefikiaje hii conclusion?maandamano haya haramu,
ni wezi wazoefu wanafahamika hilo liko wazi, nimewahi kuathiriwa na fujo za hawa wahuni, walinirudisha nyuma mno kiuchumi, walipita na kila kitu changu nikabaki mikono mitupu,Umefikiaje hii conclusion?
Polisi wanatakiwa watoe ushirikiano ili kama kutakuwa na vibaka wachache waweze kuwakamata lakini kusema Maandamano ya AMANI kuwa lengo ni kuja kukuibia kwenye Duka lako.ni wezi wazoefu wanafahamika hilo liko wazi, nimewahi kuathiriwa na fujo za hawa wahuni, walinirudisha nyuma mno kiuchumi, walipita na kila kitu changu nikabaki mikono mitupu,
yaan unamkataza huyu, huyu kavuta hiki, yule kaja kanyakua kile kaenda, kaja mwingine dah....
Hao wote ni vibaka polisi hawezi kuacha kufanya mambo ya Msingi wawalinde vibaka hilo haliwezekani...Polisi wanatakiwa watoe ushirikiano ili kama kutakuwa na vibaka wachache waweze kuwakamata lakini kusema Maandamano ya AMANI kuwa lengo ni kuja kukuibia kwenye Duka lako.
Hizo hofu zipo tu hata kwenye Maandamano ya YANGA vibaka hawakosi Polisi wanatakiwa watoe ulinzi.
Katiba yetu inaruhusu kwa kuyapinga Maandamano ya amani ni kwenda kinyume na Katiba yetu ya Jamhuri.Hao wote ni vibaka polisi hawezi kuacha kufanya mambo ya Msingi wawalinde vibaka hilo haliwezekani...
hawa wathibitiwe, wakabiliwe na kwaweli wawajibishwe kisawasawa kwa mujibu wa kanuni,taratibu na sheria za nchi,
wametuchelewesha sana hawa watu
yaani kudhulumu fedha na Mali kwenye vibanda na maduka ya watu na kudai serikalini ndio Katiba imeruhusu?Katiba yetu inaruhusu kwa kuyapinga Maandamano ya amani ni kwenda kinyume na Katiba yetu ya Jamhuri.
Hivi ndugu zetu nyie huwa hamna kazi kabisa za kufanya? Mpaka mjihusishe na shughuli ambazo hazina tija wala kipato hivi ninyi huwa hamfahamu wakati ni mali na haurudi nyuma?
Watu wanatamaniWananchi wanapokuwa na jambo lao katiba inawaruhusu kuandamana au kukusanyika kuliongelea.
Kwenye hili, polisi ni mawakala wa wanaolalamikiwa. Mlalamikiwa au wakala wake wanaupata wapi uhalali wa kujaribu kumnyamazisha mlalamikaji wao kwa maguvu ya msuli wa mwili, hata vitisho au mtutu wa bunduki?
Kwenu polisi ni kupewa taarifa tu. Mnadhani katiba ilikosewa kuwapa ninyi mipaka ya wazi hivyo kuhusiana na wananchi wenye jambo lao?
Kwamba mmefikia kujiapiza kuvunja watu miguu au hata kuwaua? Ama kweli huku ni kuvuka mipaka kuliko pitilizs mno, kunakofuzu kuitwa ushweitwani kazini.
Kwamba mmekuwa mkizisumbua hadi familia zao? Hivyo sasa mnadhani hatujui nia yenu ni kuwakamata wawili hawa kwa sababu zozote, ili 9/11 wasiwepo medani za Tahrir? Hilo tunalijua na tuko kamili gado!
Ila kaeni mkijua:
9/11 tupo Tahrir "with or without Mwabukubusi, Mdude, Slaa au awaye yote."
Mmetuchosha na tabia zenu za usiginaji wenu katiba wa wazi. Wavunja katiba dhidi ya walinda katiba tukutane Tahrir.
Hatutabeba jiwe, rungu wala sindano, bali damu na roho zetu.
Mkitaka kita umana!
We nj bilionea? Sasa kama sio huobi kuwa hiyo kazi yako haina maana?Hivi ndugu zetu nyie huwa hamna kazi kabisa za kufanya? Mpaka mjihusishe na shughuli ambazo hazina tija wala kipato hivi ninyi huwa hamfahamu wakati ni mali na haurudi nyuma?
Wendawazimu tu na wasio na kazi ndiyo wanaweza kuandamana. Mambo ya kijinga kabisaWananchi wanapokuwa na jambo lao katiba inawaruhusu kuandamana au kukusanyika kuliongelea.
Kwenye hili, polisi ni mawakala wa wanaolalamikiwa. Mlalamikiwa au wakala wake wanaupata wapi uhalali wa kujaribu kumnyamazisha mlalamikaji wao kwa maguvu ya msuli wa mwili, hata vitisho au mtutu wa bunduki?
Kwenu polisi ni kupewa taarifa tu. Mnadhani katiba ilikosewa kuwapa ninyi mipaka ya wazi hivyo kuhusiana na wananchi wenye jambo lao?
Kwamba mmefikia kujiapiza kuvunja watu miguu au hata kuwaua? Ama kweli huku ni kuvuka mipaka kuliko pitilizs mno, kunakofuzu kuitwa ushweitwani kazini.
Kwamba mmekuwa mkizisumbua hadi familia zao? Hivyo sasa mnadhani hatujui nia yenu ni kuwakamata wawili hawa kwa sababu zozote, ili 9/11 wasiwepo medani za Tahrir? Hilo tunalijua na tuko kamili gado!
Ila kaeni mkijua:
9/11 tupo Tahrir "with or without Mwabukubusi, Mdude, Slaa au awaye yote."
Mmetuchosha na tabia zenu za usiginaji wenu katiba wa wazi. Wavunja katiba dhidi ya walinda katiba tukutane Tahrir.
Hatutabeba jiwe, rungu wala sindano, bali damu na roho zetu.
Mkitaka kita umana!
Hivi ndugu zetu nyie huwa hamna kazi kabisa za kufanya? Mpaka mjihusishe na shughuli ambazo hazina tija wala kipato hivi ninyi huwa hamfahamu wakati ni mali na haurudi nyuma?
Wendawazimu tu na wasio na kazi ndiyo wanaweza kuandamana. Mambo ya kijinga kabisa
Tuseme bado sijapona. Tatizo lako ni nini?😂Umeshspona yale Magonjwa Mtambuka ?
Maza anadharau Katiba na Sheria sababu yuko juu ya hizo
Tuseme bado sijapona. Tatizo lako ni nini?😂
Niweke nini?Ikiwa hujapona au umepona suala si tatizo ila waweza weka FYI ikaeleweka 🤣